Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

Inawezekana lakini si kwa maana halisi ya ulichoandika kwakuwa tofauti ya muda duniani haiweZi kuzidi saa 72 lakini pia kwa tafsiri ya ulimwengu roho hakuna kitu kama hicho
Kwenye ulimwengu wa kiroho tunakufa masaa si chini ya 12 kabla kifo kamili kutokea
-mgonjwa aliye mahututi anapata nafuu ghafla na kula vizuri tuu huyo hamalizi 12 alishakufa
-mtu anasita kwa mfano kusafiri lakini anazalizimisha, ndani ya masaa 12 anapata ajali na kufa
-mtoto mke jamaa au rafiki anakuzuia kufanya jambo fulani hasa safari kwa vilio(mtoto)au maneno kwa watu wazima lakini unalazimisha...kama umeshakufa hutakubali ushauri wao na kifo halisi kitatokea ndani ya masaa 12
Mkuu, tofauti inaweza kufika huko kweli? Si saa 24 au 26 maximum?
 
Yaani mtu anaondoka huku Jumnne huku Marekani ni jumatatu
siku moja nyuma
anafika kule Jumanne ya kule ambayo huku ni jumatano..
so anakuwa huku aliondoka Jumanne na akafika kule Jumanne pia
ingawa safari na masaa karibu siku nzima
Oh asante Boss
 
Hili sio jambo la nadharia nyingi. Kuna siku, kwenye miaka ya tisini, nilitoka na familia yangu Cairns Australia saa 4 asubuhi siku ya Jumapili na ndege ya QANTAS na tukawasili Hawaii Jumamosi (jana yake) saa 5 usiku. Kwa hivyo basi, inawezekana kabisa kufa leo na kuzikwa jana.

Nini maana ya jana? Jana maana yake ni masaa 24 kabla ya Leo.
 
Kuna concept ya time space travelling, ambayo ukisafiri kwa spidi kubwa kwenye space una-slowdown time. Hivyo siku moja in space inaweza kuwa miaka 20 dunian.

Ni complex idea, ila elewa hivyo. Watu wataenda kwenye solar systems za mbali kwa kutumia siku chache tu, lakini ni mamia ya miaka dunian. Watashangaa watakaporudi wanakuwa nyuma kwa miaka kibao na kila kitu kimebadilika sana.

Nao wanakuwa wanaishi past in present, maana wataonekana vijana wa miaka 20 kumbe wana miaka 600
Swadakta mkuu,
 
Mkuu ni kivipi muda unaenda mbele na kurudi nyuma..?
Muda hauwezi kurudi nyuma..kwani kunahitajika infinite energy
Kufanya hivyo.
Ni sawa sawa na maji yatiririke kutoka bondeni kwenda mlimani.
 
Inawezekana lakini si kwa maana halisi ya ulichoandika kwakuwa tofauti ya muda duniani haiweZi kuzidi saa 72 lakini pia kwa tafsiri ya ulimwengu roho hakuna kitu kama hicho
Kwenye ulimwengu wa kiroho tunakufa masaa si chini ya 12 kabla kifo kamili kutokea
-mgonjwa aliye mahututi anapata nafuu ghafla na kula vizuri tuu huyo hamalizi 12 alishakufa
-mtu anasita kwa mfano kusafiri lakini anazalizimisha, ndani ya masaa 12 anapata ajali na kufa
-mtoto mke jamaa au rafiki anakuzuia kufanya jambo fulani hasa safari kwa vilio(mtoto)au maneno kwa watu wazima lakini unalazimisha...kama umeshakufa hutakubali ushauri wao na kifo halisi kitatokea ndani ya masaa 12
kaka hii ni elimu ya dunia hii hii au unaandikia ukiwa wapi, nashangazwa sana na hii habari
 
Hiyo siyo "definition" sahihi ya jana. "Jana" ni siku iliyotangulia ("preceding") "leo".

Kama kuna mtu aliyekufa saa 4 usiku wa Jumatatu na nikakutana nawe saa 1 asubuhi Jumanne hutasema kafa jana? Masaa yaliyopita siyo 24, ni 9 tu.
lakini mkuu , najua kinachosababisha tuhesababu usiku na mchana ni spinning !
je haiwezekani kuwa chombo kinachosafiri sipidi kubwa kuliko earth rotation kutoka point A to point B kikaiona kesho kebla ya watu wengine ?

tukiachana na maana ya kesho.
 
1474225436453.png

mkuu afadhali umeondoa utata !
mliosema haiwezekani mkuje The Boss raxx Njaa
 
Back
Top Bottom