Je, unatamani wasanii gani wafanye ngoma pamoja?

Jan 31, 2024
42
119
Binafsi kuna collab natamani zingetokea sio kwa bongo tu mpaka mbele, kwa mfano;
1. Jay Melody ft Mbosso
2 Diamond Platinumz ft Yemi Alade(najua wamewahi fanya ila ilikuwa ni zamani wakati mond hana umaarufu)
3. Kaligraph Jones ft Darassa
4. Ruger ft Rema
5. Jason Derulo ft Chriss Brown
6. Disasta Vina ft P. Mawenge
7. Dayoo ft Kusah
8. Zuchu ft Harmonize
9. Rayvanny ft Otile Brown
10. Marioo ft Otile Brown
11. Jay Melody ft Otile
12. Ali Kiba ft Jux
13. Nash MC ft Disasta Vina

Kwako wasanii gani ungetamani kuwaona wakishusha vitu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom