Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

Status
Not open for further replies.
SHAMBA LINA UKUBWA GANI MKUU, HADI UBADILISHE UDONGO, NADHANI NI GHARAMA ZA BURE TU HIZO

CHAKUFANYA KAMA SHAMBA NI LAKO, WEKA SAMADI YA KUTOSHA, TENA ILIFAA UIWEKE MEZI W ATISA HIVI, ILI MVUA ZIKIANZA NOVEMBER/DECEMBER UNAPANDA. KAMA ULIPO BADO KUNA MVUA BASI WEKA MBOLEA-SAMADI KATIKA SHIMO HUSIKA NA KISHA WAITI FOR 1-2 WEEKS UPANDE

KUBADILI UDONGO NI GHARAMA SIZIZO NA TIJA,

PANDIA SAMADI NA NDANI YAKE CHANGANYA NA DAP KIASI

KWA KUCHOMA NYASI GRAMAXONE-SUMU NI PARAQUATE DICHLORIDE NI NZURI KUCHOMA NYASI HUFANYA KAZI WITHIN 7 DAYS, ILA HIYO SUMU YAKE NI HATARI KWA MAZAO YA KUEXPORT NJE YA NCHI

DAWA YA KUTIBU UDONGO, PATA DAWA ZA UKUNGU CHANGANYA NA ZA WADUDU KISHA UNASPARY KATIKA MASHIMO HUSIKA KABLA YA KUPANDA

ZA UKUNGU NZURI NI KAMA AGRIFOS 400 HUSAIDIA SANA KUUA FANGASI WA KUOZESHA MZIZI, SCORE,AZOXTROBIN,MULTI POWER PLUS 78WP

ZA WADUDU NZURI, NI CYPERMETHRIN, IMIDACLOPLID, KARATE, NINJA, THUNDER, DECIS ETC
Mkuu habari?

Nna kaeneo kadogo nje nlitaka kulima bustan ya nyanya! Je hizi nyanya ndefu za green house nichague zipi zitanifaa??

Nataka kulima eneo dogo nipate mazao mengi!
 
KAMA UMEJENGE GREEN HOUSE, MBEGU NZURI, NI COLAZON, GALLILEA, ANNA F1, KIPATO F1

KWA OPEN FIELD-SHWAMBA WAZI, MBEGU NZURI NI ASSILA F1 WAKATI WA KIANGAZI, EDEN F1 WAKATI WA MASIKA, SHANTY F1

Mkuu habari?

Nna kaeneo kadogo nje nlitaka kulima bustan ya nyanya! Je hizi nyanya ndefu za green house nichague zipi zitanifaa??

Nataka kulima eneo dogo nipate mazao mengi!
 
ASANTE MKUU, MAUMIVU YAMEPUNGUA, NA VIDONDA VINAKAUKA, NAENDELEA VIZURI

HIYO BOOSTER NI NZURI KAMA STARTER, BILA SHAKA UNAONA KIASI CHA NITROGEN NI KINGI SANA KULIKO VINGINE

ILA WAKATI WA MATUNDA, TAFUTA POTPHOS AU MULTI K (19:19:19) AU OMEX, AU WUXAL MACRO MIX, AU POLYFEED FINISHER, HIYO KEEN FEEDER HAISAIDII SANA, THATS WHY WAMESHINDWA HATA KUINDICATE PERCENTAGE ZA HIZO MICRO NUTRIENTS

ASSILA UNAWEZA IPANDA HATA WAKATI HUU WA MASIKA, ILA HAKIKISHA SHAMBA HALIPO BONDENI, KWANI MAJI YAKIJAA/KUFURIKA NA KUTUAMA, ITAATHIRIKA HAIKUI. HUWA HAIHITAJI MAJI MENGI, UNGEPATA EDENI F1 AU KIPATO F1 AU SHANTY, AU BINGWA F1 SAWA KWA WAKATI HUU WA MASIKA
Nashukuru kwa masomo yako kiongozi,naomba kufahamu kwa juu juu tu hivi mmea mmoja wa eden F1 unahitaji lita ngapi kwa siku ili uweze kuleta tija,hapa nahofu kumwagilia zaidi au kumwagilia kidogo,asante.
 
Katika hali ya kawaida, kukiwa na jua la wastani, na udongo haupotezi maji haraka, eka 1 ya nyanya huwa na miche kati ya 10,500 hadi 11, 500, so ni wastani wa miche 11,000 kwa eka, na kwa umwagiliaji wa drip (Matone). One acre huchukua maji lita 30,000 kwa saa 1. Hivyo ni wastani wa lita 2.5 hadi lita 3 kwa mche 1 kwa saa 1

Ivi mkuu kuna kipindi nyanya zilikua nyingi sana sokoni kule moro kama sikosei...unaweza kumbuka ilikua mwezi wa ngapi?? Je ilikua kabla au baada ya masika au wakati wa masika??
 
Nashukuru kiongozi nimepata mwanga, asante.
 
Ilikuwa ni kabla ya masika mkuu kwa maeneo ya pwani (Dar. Moro etc) , ilitokea mwezi wa 8 na nyingine ikatokea mwezi wa 12.

Ivi mkuu kuna kipindi nyanya zilikua nyingi sana sokoni kule moro kama sikosei...unaweza kumbuka ilikua mwezi wa ngapi?? Je ilikua kabla au baada ya masika au wakati wa masika??
 
Kama unamwagilia kwa mifereji , weka sm 60 kwa 60 kutoka shimo hadi shimo ndani ya mstari, na umbali kati ya mstari na mstari weka sm 75. Uzipande zigzaga, yaani shimo la kwanza upande wa kushoto lisiwe parallale na shimo la kwanza la mstari wa pili, YAPISHANE. Kama utatumia matuta ya drip, fanya hivi umbali kutoka katikati ya tuta moja kuja tuta lingine iwe mita 1.5, na nafasi kati ya shimo na shimo ndani ya mstari iwe sm 60.
Thank you!! Alafu hii asilla niweke spacing ya ngapi kwa ngapi shambani?? Nikiweka 30*30 cm ina shida?
 
Kwa mlioko mjini mbegu hizo za Assila F1 na Heden F1 zinauzwaje kwa gramu,maana nataka kujaribu kama mbegu kadhaa tu maeneo ya jirani na nyumbani kabla sijafanya uwekezaji mkubwa,asante.
 
Zinapatikana wapi....maduka gani...na je naweza kupata mbegu nzuri za uhakika za matikiti maji...
Anyway niko Moshi na hizo assila nilichukua pale kibo trading! Angalia sehemu ulipo kama kuna maduka makubwa ya kilimo utapata huko!!

Kwa kweli mbegu za tikiti sina uzoefu nazo ila nenda kwenye maduka makubwa ya kilimo kama kibo au balton huwezi kosa!!
 
Asante ndugu...nilijua upo dar...na huku kuna changamoto....matapeli ni wengi...mbegu wanaziharibu kisha wanaziweka kwenye kava unanunua kumbe ni feki...nitawaona balton nafahamu walipo.
 
Kama unamwagilia kwa mifereji , weka sm 60 kwa 60 kutoka shimo hadi shimo ndani ya mstari, na umbali kati ya mstari na mstari weka sm 75. Uzipande zigzaga, yaani shimo la kwanza upande wa kushoto lisiwe parallale na shimo la kwanza la mstari wa pili, YAPISHANE. Kama utatumia matuta ya drip, fanya hivi umbali kutoka katikati ya tuta moja kuja tuta lingine iwe mita 1.5, na nafasi kati ya shimo na shimo ndani ya mstari iwe sm 60.
Habari mkuu??

Nilinunua assila kama nilivyokuambia! Ila nashangaa mpaka leo ni siku ya saba toka nisie kwenye kitalu na bado hazijatoka sijui tatizo nini!!

Je ni kawaida kuchukua mda mrefu ndio ziote??

Kawaida huwa ni siku ngapi ili zianze kuota??

NB: nilizi treat mbegu kama ulivyoshauri!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom