Prince Mhando
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,595
- 12,086
Mimi niliitumia kipindi maua yanaanza...kuna baadhi yalikuwa yana kauka....nikashuriwa nitumie hiyo hivi sasa yametoka maua mengi yenye afya...nzuri...ila imeandikwa kwenye kibandiko soma hapo pembeni kuwa unaweza kuipiga hadi mara nne kwa mimea midogoKweli mkuu! Wewe uliitumia kipindi gani?? Wakati umeotesha au baada ya matunda?