Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
yaani ndugu entrepreneur naomba nikubaliane na wewe point ya macho na kutofautisha na kuchukua hatua haswa baada ya kitu nilichokiona leo, ni hivi mimi nina vipaka vyangu viwili kimoja kinaitwa sweetie cha kike na kingine xmas cha kiume vilizaliwa xmas, sasa sweetie ana mkia wa kawaida tu ila wa xmas ni mrefu zaidi na hili niliona linamfanya xmas uncomfortable ila home tukasema si bado anakua no problem, ila siku zilivyokuwa zinaenda nikawaambia jamani xmas ataukata mkia wake mwenyewe wakaniambia haiwezekani basi mi nikaendelea na observation tu huwezi amini leo namuangalia mkia mfupi kashaukata ila ubaya sasa umekuwa tena mfupi kuliko wa sweetie embu pata picha huyu ni paka binadamu je?hichi ni live ntatafuta kamera niwapigie picha muone. nimejifunza jambo kubwa, usisahau xmas anauguza kidonda.