Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

Endelea hivyo hivyo kuogopa maana uoga ni mzuri pia.
Wivu sina lakini roho inanikereketa maana napenda jina moja hapa duniani yaani WATOTO. Sasa mimi ni W ukichanganya na yako nitalipata ila marinda sheeeeeeda
 
alikua anauza mahindi ya kuchoma stendi ya mabasi msamvu na mi nilikua tandiboi wa basi flani asa mahindi yake yalikua matam sana unaeza sema labda anayachoma kwa computer asee,,, nilianza kumpenda kupitia ufund wake wa kuchoma mahind na mpaka sasa ndo my kila kitu wangu
 
mie kene whatsapp group wakati niko dom nlivyorudi 2kameet gymkhana anasoma c.b.e akanipenda twice hadi homa afu wimbo wa Di'ja Awww Wanigeria Ndo Ulikua Lift + Ally Kiba My Evrything. Then Wimbo Wa Nikki Mbishi Secreto De Amor Maana My Girlfriend Ni Fan Wa Nikki Zohan.
 
Ooohhh pole sana dear.. Umenikumbusha mbali hapo kwa books za songs..hhaaaaaahhaaa ..I am sure mlikuwa mnatumia madaftari mliyokuwa mkinunuliwa for the subjects in class.. hhaaaahhhhhaaa.. I used to do that myself na kipenzi changu singer alikuwa Celine Dion .. aahhhhaaaaaa huyu Mama acha tuu .. yote niliyokuwa nikiwazaga when I was listening and wrote her songs in my younger age most of it came to pass.. Home walifikiri washanipoteza kuwa nitakuja kuwa singer because nilikuwa siwezi lala bila radio yenye CD ya huyu Mama hhaaaaahhaaa aisee umenikumbusha mbali sana utoto acha tuu...( just recently home walinikumbushia jinsi nilivyokuwa age ile na hawakutegemea today kama Leo hii Niko tofauti walivyodhania ) .. aaahhhhaaaa.. Thanks..

kwa kweli kuandika nyimbo na kuimba ilikuwa bonge la passtime...na wengine ilitusaidia sana kukuza kiingereza...furthermore reggae iinijengea mtizamo nilonao now..kuhusu revolution, love, peace etc etc
 
Siku Moja Nilikua Nasafiri Kwenye Basi La Fantastic Kwa Wale Wa Usangi Mnalipata.Akapanda Mdada Mmoja Akakaa Nyuma Ya Nilipokaa.Tukaenda We Wee Tukaanza Kuchati Wee Na Adi Tukapeana Namba.Me Nikaenda Dar Na Tukawa Tunawasiliana Na Yule Dada.Basi Ndo Nilivompata Mama Mtoto.Kwani Wewe Ulikutana Na Mpenzi Au Mumeo Wapi? Je Unakumbuka Siku Hiyo Mpendwa?Mashamsham Ya Siku Ile Nayakumbuka Damn Jamani,daah Mapenzi Matamu Ila Dah Chakula Nayo Tam,kulala Tam,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mapenzi matamu kweli tena kuna wakati yanakuwa machungu.

Wengine wanajiua, wengine wanapeana vilema, wengine wanarukwa na akili.

Mapenzi haya
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hivi wewe Bumija (mwanafunzi wa kata), juzi ulikuwa unaomba ushauri hapa mpenzi kakumbia, leo una mtoto na mpenzi wa kwenye basi. Shule za kata ni sheeedah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom