Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

Mi nakumbuka ilikuwa ni mara ya kwanza kurudi nyumbani kutoka dar kwa ajili ya field yaani full usharobaro, full scrab,tisheti za kubana, full waves kichwani, na yeye ndo alikuwa field katika shule yetu ya kata hapo kijijini,yaani basi nilivoingia nilikuta vijana wa kitaani washapigwa chini vibaya mi nkafika najikamatia windo langu kiulaini hadi wa leo
 
Nilimtapikia club baada ya kunywa kinywaji cha ajabu, hakukasirika akanipa tissue nikajifuta. Tukatoka nje kupunga upepo, tukaongea sana. Akaenda kulala kwangu usiku huo. Kuanzia hapo akawa mpenzi wangu, tumefunga ndoa na tuna watoto wawili sahv.

Nyimbo;
1. Kalamazoo - The Glen Miller Band
2. Let My Love Open The Door - Pete Townsend
3. Ocen Size - Jane's Addiction
4. Queen of California - John Mayer
5. The Meddler - Chevelle
6. Get Outta My Dreams, Get In My Car - Billy Ocean
7. Lucy In The Sky With Diamonds - The Beatles
8. XO - Beyonce
9. You Are As Smooth As Tennessee Whiskey - George Johnes
10. Dancing Queen - ABBA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom