Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .

Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu ,eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort .
Anhaa natamani unieleweshe vizuri je hiyo hela wanaihesabu au hata nikibeba nguo zangu kwenye begi nikasema ni hela ila nahitaji escort nikiwadanganya nimebeba hela watakubali ?

Maana nataka nije nao kama kumi huku kijijini ili wanakijiji waniogope sasa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .

Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu ,eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Wakati unaomba escort ya polisi kwa hiyo 30,000/- Tshs, unalipa shilingi ngapi? Au escort ni bure?
 
Anhaa natamani unieleweshe vizuri je hiyo hela wanaihesabu au hata nikibeba nguo zangu kwenye begi nikasema ni hela ila nahitaji escort nikiwadanganya nimebeba hela watakubali ?

Maana nataka nije nao kama kumi huku kijijini ili wanakijiji waniogope sasa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Cha msingi uwe na pesa kuanzia elfu 30
 
Back
Top Bottom