Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

Kuna wengine wana weupe wa kutengeneza, msihukumu maana naturally ni weusi.
 
Thanks Maty nilikumiss habari ya wewe

Jamani ngoja nifafanue kidogo unajua wanaume wengi weupe wa kibongo (sio wazungu)ni mahandsam so wadada weng wanawapapatikia sio nia yao kuumiza siwatetei ila wadada wanajigonga kwao kwa sana wala hawana kaz kubwa ya kutongoza. Wanajichagulia 2 leo awe na yupi kesho na yupi kwa kifupi wanaume hawa (wenye pesa hata awe na sura ka makalio ya sufuria inayopikiwa na kuni na mahandisam weupe kwa weusi hata awe hana kash wanaumiza mioyo ya kina dada kwani wadada wengi wanawakimbilia sana) kwa hiyo lazima wadada muumizwe we jichukulie mchoma mishkaki wako ila asiwe handisam awe mbaya ka kanyagio utaona kama utaumizwa utakua peke yako
 
Thanks Maty nilikumiss habari ya wewe

musuri mwaya mi nina ji mpingo langu baya (maana akiwa mpingo halfu handsam nae balaa atakuliza) na kash yake ya kuunga unga (maana hata akiwa mbaya ila ana kashi atakuliza) naish kwa amani zote wakina dada kama hutaki kuumizwa punguza kuchagua
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

kwa kweli kila jicho lina tafsiri yake ya mvuto,mimi jamani wakaka weupe hawajawahi kunivutia kamwe.
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

Ni wewe tu ubabaikae kwa weupe!
 
musuri mwaya mi nina ji mpingo langu baya (maana akiwa mpingo halfu handsam nae balaa atakuliza) na kash yake ya kuunga unga (maana hata akiwa mbaya ila ana kashi atakuliza) naish kwa amani zote wakina dada kama hutaki kuumizwa punguza kuchagua
aakh maty kuchagua muhimu.ila inapendeza kama mdada unalipa ukachukua dume la kawaida hata kama linatisha kwa mbali.me mwenyewe firstman wangu halipi hata kidogo ila presha bado juu.tatizo wadada wakiona unaye mbaya wanataka kumtest ili wajue kilichokuvutia binti mzuri kuanguka kwa huyo mbaya.
ila bora presha hizi za kawaida ila sio za weupe za kujitakia
 
Kosa kujigonga kwenu na ofa launch twende wote,we njia huijui? kuhadithiana nilizama chumvini..Etc midomo yenu chungeni
 
aakh maty kuchagua muhimu.ila inapendeza kama mdada unalipa ukachukua dume la kawaida hata kama linatisha kwa mbali.me mwenyewe firstman wangu halipi hata kidogo ila presha bado juu.tatizo wadada wakiona unaye mbaya wanataka kumtest ili wajue kilichokuvutia binti mzuri kuanguka kwa huyo mbaya.
ila bora presha hizi za kawaida ila sio za weupe za kujitakia

fl1 umenichekesha lol kumbe wadada huwa wanatamani kutest ili wajue inakuaje huyu dada jamani kuangukia hapa? so watakua wananichukuliaga mpingo wangu kuutest mwe!! Ila hawatakua wengi na hawez kunilingia cause anajua anapendwa na wachache tena kwa zali, tofauti ukiwa na handsam msululu unakua mkubwa bana na anaringa kwani anajua wanampenda wengi tena wazuri zaidi
 
Wanaume wote ni kama wamezaliwa na mama mmoja. Yaani tabia ni zile zile hasa katika suala la kucheat. Hata awe mfupi jeusi na mtambi huo utaona sheshe lake.
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

FL Hivi GY amejibu kwenye huu mjadala?????
 
Wanaume wote ni kama wamezaliwa na mama mmoja. Yaani tabia ni zile zile hasa katika suala la kucheat. Hata awe mfupi jeusi na mtambi huo utaona sheshe lake.

Je wanawake wapo kama wamezaliwa na mama tofauti eeh?
 
fl1 umenichekesha lol kumbe wadada huwa wanatamani kutest ili wajue inakuaje huyu dada jamani kuangukia hapa? so watakua wananichukuliaga mpingo wangu kuutest mwe!! Ila hawatakua wengi na hawez kunilingia cause anajua anapendwa na wachache tena kwa zali, tofauti ukiwa na handsam msululu unakua mkubwa bana na anaringa kwani anajua wanampenda wengi tena wazuri zaidi
Maty mimi ni original bana.umekosea jina langu.
Pia hujui kama mwanaume mbaya anaweza akaonekana mzuri akitoka na demu kifaa?kama huamini mtazame jayzee alivyoanza kuvutia baada ya kuanza kutoika na beyonce.zamani haluwa na mvuto kabisaaaaaa
 
Wanaume wote ni kama wamezaliwa na mama mmoja. Yaani tabia ni zile zile hasa katika suala la kucheat. Hata awe mfupi jeusi na mtambi huo utaona sheshe lake.
unaonekana unamachungu sana na umeongea na hisia za kutoka moyoni.vipi umeshatendwa sana?
 
nashukuru mungu sijatendwa ila mashost zangu wa karibu wametendwa jamani hadi huruma. Halafu mijanaume yenyewe iliyowatenda we acha tu. Aliyesema mapenzi upofu hajakosea.
 
Back
Top Bottom