Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

Lukolo nlipotea kidogo.kama sikun zote wewe ndo unaumizwa pole sana.ila pamoja na kuumizwa yawezekana nawe ukawa unawaumiza zaidi ila hujui tu
 
Hii si kwa wanaume tu ila the same applied to womens maana hata wanaume wengi(majority) wanapenda wanawake weupe na wanawake weupe just because wakishalitambua hilo kuwa wako marketable wanakuwa wasumbufu na wanacheat balaaa.
 
Jamaa alivyo mega tu akammwaga alivyo ona kaachwa akawa ananinyemelea mm tena mm nilimfungia vioo

Nilijua tuuu ukiachana na mwanaume mweusi uende kwa mweupe lazima urudi na bahati mbaya unakuta milango ishafungwa siku nyingi. Mie sielewi wanachokimbilia kwa mwanaume mweupe. Mie nina aleji nao kabisa
 
Ufupi uleule aliousema FL kuwa ni wazuri, wanajua mapenzi, they are caring, and sharing(?)...wanajua kuhonga...ufupi huo

Angalau hapa umeongea ukweli maana haya mashambulizi yamekuwa makali sana na hawa wanamama humu jamvini halafu pia wanakosea na lugha ya kusema wangesema hivi (Baadhi ya wanaume weupe) na siyo wote watu tunakula zabibu zetu kwa raha mustarehe na madem zetu wanajiona wako peponi nyie mnataka kuchafua hewa humu ndani!!!

Kama mmetendwa ni tabia ya mtu na siyo rangi au cha zaidi sana naweza kusema kuwa HAMKUFIT KWENYE ROLE ZENU THUS WHY MNATURUSHIA MASHUMBULIZI.

mlivyoshindwa kuvila msivitie hila wacha tuwamiliki watoto watulivu kwa raha zetu
 
Jamani ngoja nifafanue kidogo unajua wanaume wengi weupe wa kibongo (sio wazungu)ni mahandsam so wadada weng wanawapapatikia sio nia yao kuumiza siwatetei ila wadada wanajigonga kwao kwa sana wala hawana kaz kubwa ya kutongoza. Wanajichagulia 2 leo awe na yupi kesho na yupi kwa kifupi wanaume hawa (wenye pesa hata awe na sura ka makalio ya sufuria inayopikiwa na kuni na mahandisam weupe kwa weusi hata awe hana kash wanaumiza mioyo ya kina dada kwani wadada wengi wanawakimbilia sana) kwa hiyo lazima wadada muumizwe we jichukulie mchoma mishkaki wako ila asiwe handisam awe mbaya ka kanyagio utaona kama utaumizwa utakua peke yako
wewe endelea kujidanganya tu
 
mada zingine kazi kwelikweli- ni vema kuto-generalize mambo kama haya ya uhusiano.

usihukumu usije nawe ukahukumiwa....
 
Hii si kwa wanaume tu ila the same applied to womens maana hata wanaume wengi(majority) wanapenda wanawake weupe na wanawake weupe just because wakishalitambua hilo kuwa wako marketable wanakuwa wasumbufu na wanacheat balaaa.
remove me from that list
 
Jamaa alivyo mega tu akammwaga alivyo ona kaachwa akawa ananinyemelea mm tena mm nilimfungia vioo

Ungempokea tu kaka, si unajua kuwa alijuta kukupiga chini!!!!si unajua bila kuchafuka atajifunzaje?
 
Tatizo ni la kijamii zaidi na si kimaumbile...waswahili hupenda kuhusisha rangi ya mtu na uwezo hivyo kudhani kuwa watu weneye rangi nyeupe ni bora zaidi...mimi nadhani hakuna tofauti kati ya mtu mweupe na mweusi kimaumbile
 
dsc00341.jpg

makubwa kwelikweli
 
Angetokea Mzungu akasema wanawake weusi hawajui mapenzi ...................ingekaaje hiyo?
 
Back
Top Bottom