Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
Km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
Mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!
?

wazaire mapretender no 1 na weupe wao wakujichubua. Sasa sijui wamejichubua ili kukamilisha huu usemi maana si weupe asilia hawa watu
 
Mkuu PakaJimmy, si nia yangu kuunga mkono kauli ya FL, lakini ukweli ni kwamba kama kuna heart breaks za kutisha basi ni kwa hawa wenzetu wazungu. Record iliyopo hadi hivi sasa katika nchi nyingi za ulaya ni kwamba asilimia sabini ya ndoa huwa zinavunjika kwenye early stages. Ukifuatilia utakuta waliopo kwenye ndoa ni wazee tu ambao kila mmoja alishazaa na mtu mwingine, sasa wameamua tu kuishi pamoja waleane. Lakini sielewi kama dhana yake ni hiyo hiyo ya weupe, lakini ninajua kwamba wazungu ndo wenye shida zaidi katika mapenzi kuliko hata hao waafrika weupe anaowasema FL.
Lakini kikubwa zaidi mimi ni mweupe, cha ajabu siku zote ndo nimekuwa naumizwa badala ya kuumiza. Sasa hapo sijui manake ni nini? Labda FL afafanue zaidi.

Kuna wengine weupe usoni lakini kwengineko weusi ati!!!
Mambo ya kujichubua
teh teh teh
 
Bigrita kwenye ukweli unasema ati.huyo GY kama ni mweupe ajichunguze tabia zake then anipe majibu.ila najua lazima zitakuwepo
 
wanaume wanafanana kwa rangi,maumbile na muonekano.tabia zao zinawiana na pia ni rahisi kuwatofautisha.kama we ni mweupe kweli hebu jichunguze.au nikupe zaidi tabia zao?
mi naonaa halinaa ukwelii hili...mi mweupe ilaa sina hizo tabia unazo semaa,je ni mwanaume mweupe tu au na mwanamke mweupe?first lady unasababu zako binafsi kwanini huwapendi wanaume weupe?labda washawai kuku cheat...ila tabiaa ya mtu sio rangiii:A S crown-1:
 
MX ndo maana wengi hishia kuumizwa roho.halafu hawa wanaume weupe ni kama wamechanjiwa yaani hawapendi kula pipi na ganda.mafataki,vihatarishi...........yaani wengi utawakuta hapa.
firstlady ulijuaje kama hawapendi kula pipi na ganda?au ulishajirusha nao?mana hizo siri za ndani dia.
 
Hii ya kusema tabia inahusiana na rangi ya mtu ndo kwanza niisikie leo.

Hapa dada taratibu au watasema unawanyanyapaa
 
Jamani ngoja nifafanue kidogo unajua wanaume wengi weupe wa kibongo (sio wazungu)ni mahandsam so wadada weng wanawapapatikia sio nia yao kuumiza siwatetei ila wadada wanajigonga kwao kwa sana wala hawana kaz kubwa ya kutongoza. Wanajichagulia 2 leo awe na yupi kesho na yupi kwa kifupi wanaume hawa (wenye pesa hata awe na sura ka makalio ya sufuria inayopikiwa na kuni na mahandisam weupe kwa weusi hata awe hana kash wanaumiza mioyo ya kina dada kwani wadada wengi wanawakimbilia sana) kwa hiyo lazima wadada muumizwe we jichukulie mchoma mishkaki wako ila asiwe handisam awe mbaya ka kanyagio utaona kama utaumizwa utakua peke yako
 
Hizi dhana za kuwa weupe unahusiana na unhandsome au uzuri ndo zinopelekea watu kujichubua
 
Jamani ngoja nifafanue kidogo unajua wanaume wengi weupe wa kibongo (sio wazungu)ni mahandsam so wadada weng wanawapapatikia sio nia yao kuumiza siwatetei ila wadada wanajigonga kwao kwa sana wala hawana kaz kubwa ya kutongoza. Wanajichagulia 2 leo awe na yupi kesho na yupi kwa kifupi wanaume hawa (wenye pesa hata awe na sura ka makalio ya sufuria inayopikiwa na kuni na mahandisam weupe kwa weusi hata awe hana kash wanaumiza mioyo ya kina dada kwani wadada wengi wanawakimbilia sana) kwa hiyo lazima wadada muumizwe we jichukulie mchoma mishkaki wako ila asiwe handisam awe mbaya ka kanyagio utaona kama utaumizwa utakua peke yako

kwahiyo unataka kusemaje hapo Maty,wanaume weupe kwako poa tu!
 
mbona kule ghana, nigeria, guinea, ivory coast etc kuna midume myeusi tiii na mabinti wanadanganywa kama kawaida. ANGALIZO: wanaume wote mzazi wao ni mmoja so ukisikia Paaa......
 
Back
Top Bottom