Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

mi naonaa halinaa ukwelii hili...mi mweupe ilaa sina hizo tabia unazo semaa,je ni mwanaume mweupe tu au na mwanamke mweupe?first lady unasababu zako binafsi kwanini huwapendi wanaume weupe?labda washawai kuku cheat...ila tabiaa ya mtu sio rangiii:A S crown-1:
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!

FL niombe radhi kwani mimi rangi yangu imepitiliza yaani zeruzeru aoni ndani!
 
Hehehehe makubwa tena haya mkulu teh teh teh

DSC00341.JPG
 
Hii ndo naisikia leo!...
Sasa sijui shemeji utaniambia nini kwa nchi za weupe watupu eg Ulaya!
Au wenyewe kwao tatizo hili halipo, liko na sisi tu waafrika!!
Mkuu PakaJimmy, si nia yangu kuunga mkono kauli ya FL, lakini ukweli ni kwamba kama kuna heart breaks za kutisha basi ni kwa hawa wenzetu wazungu. Record iliyopo hadi hivi sasa katika nchi nyingi za ulaya ni kwamba asilimia sabini ya ndoa huwa zinavunjika kwenye early stages. Ukifuatilia utakuta waliopo kwenye ndoa ni wazee tu ambao kila mmoja alishazaa na mtu mwingine, sasa wameamua tu kuishi pamoja waleane. Lakini sielewi kama dhana yake ni hiyo hiyo ya weupe, lakini ninajua kwamba wazungu ndo wenye shida zaidi katika mapenzi kuliko hata hao waafrika weupe anaowasema FL.
Lakini kikubwa zaidi mimi ni mweupe, cha ajabu siku zote ndo nimekuwa naumizwa badala ya kuumiza. Sasa hapo sijui manake ni nini? Labda FL afafanue zaidi.
 
Back
Top Bottom