Je ulikutanaje na Mumeo/Mkeo Kabla ya kuwa kwenye Mahusiano?

Wangu tulikutana 10 ago, tulikuwa kanisani pamoja, as far as I can remember sikuwahi kumpa verses zozote, ila tilijikuta tukipanga maisha na ndani ya miezi 3 akaja UK kusoma, kaniacha bongo relationship bado changa kabisa, the communication was amazing, relationship iliimarika zaidi online for 2yrs of her studies.

Mipango yote tulifanya online na simu, nikakutana na ndugu zake yeye akiwa nje, mipango ikafanyika wazee wangu wakaenda kwao, nikalipa mahari. Kamaliza chuo kafanya mpango wa kazi kaipata then akaja bongo, nikamvisha pete, nikaenda kwao mara ya kwanza kwenye sendoff, ndio mara ya kwanza kuonana na wazazi wake. Shughuli ikaisha tukarudi Dar kanisani tulipokutana, tukafunga ndoa.
Baada ya mwezi tukaja UK, that was 8yrs ago. Tuna watoto twins boy and a girl. She's an amazing wife and great mother.
Maisha yanaendelea.

Good communication is key to any relationship no matter the distance.
 
Daah aisee mkuu THIS IS REAL AMAZING...! Congratulations you all...May GOD almighty bless you and your family!

Na hapo kwenye red umetufunza kitu mkuu,thanks a lot.
 
Daah aisee mkuu THIS IS REAL AMAZING...! Congratulations you all...May GOD almighty bless you and your family!

Thanks man. You have no idea how much this thread you started is gonna change some people's lives and views about relationships or marriage.
Stay blessed
 
Mkuu Kizzy Wizzy nikupongeze sana kwa jinsi ambavyo umejibu coments za watu! Kwa kweli inaonyesha jinsi ulivyostaarabika!

Dah kumbe safari ya kutafuta mke ni ndefu ee?
Sina budi kuianza rasmi. Natangaza rasmi nia!

Nimepitia coments zote ikiwa ni mara yangu ya kwanza toka nijiunge jf haijawahi tokea mimi kupitia coments za kila page tena kwa umakini mkubwa namna hiyo! Nimeguswa sana na jinsi watu walivyoanza mahusiano kwa style tofautitofauti...Wapo ambao nadiriki kusema kuwa wameshushiwa mfano yule wa ATM card na yule wa aliyesinzia kwenye gari...Pia yule aliyechukua mtoto wa mwenye nyumba kipindi amepanga kama gheto wakati yupo o-level naye ilikuwa ni mipango ya Mungu tokea zaman na ilikuwa ni lazima itimie! Husninyo hapo naona katupeleka chaka tu ila huo huwa ndo utani wake siku zote!

Kiujumla hii post imebadili kabisa mtazamo wangu kuhusu just-mke na mke atokaye kwa Mungu

daaah! yaani sijui kwann siaminiki, hadi Voil nae haniamini.
 
Last edited by a moderator:
Miaka 10 iliyopita tarehe 22 Desemba nilikutana na msichana mmoja mpole mwanafunzi wa kidato cha 6. Nilipojitambulisha kwake akasema nimeshakusikia sana (na mimi nilisoma Shule hiyo huko nyuma). Nikamwambia hata mimi nakufahamu....tuliongea kidogo tukaachana. Hakuwa na simu hivyo sikuwa na uhakika kama nitamwona siku nyingine. Ninachoweza kusema Mke/Mume sahihi unaweza kumuona siku ya kwanza tu. Kwa jinsi nilivyomtazama kwa dakika kama 10 tu nilizoongea naye niligundua kwamba yule ndio alifaa kabisa kuwa Mama watoto. Baada ya miezi miwili hivi nilifanikiwa kutangaza nia nanakumbuka tu jibu alilonipa "subiri nimalize shule" japo miezi minne baadae sikumbuki ilikuwaje lakini mpaka sasa tupo kwenye ndoa mwaka wa 7 na watoto wawili.
 
Hahaha hii life story imejaa siasa escrow na kura za hapana na ndio, ila tamu sana nasoma naiyona kama tv 3D

Mkuu hata kama huamini, huo ndo ukweli wa jinsi nilivyopata jiko ambalo mpaka sasa lina watoto wawili ke na me; na maisha yanasonga mbele kama tulivyoahiadiana siku ile kuhusu kuishi katika "tabu na raha". Aidha, hakuna sehemu nimeonyesha kuwa nilipata kura ya hapana. Wewe katafute mke au mme club uone matokeo yake.
 
nafikiri hii mada ilishawahi kujadiliwa siku za nyuma, nakumbuka kuna jamaa alidai alikuwa anacheki game ya simba na yanga taifa, ghafla goli likafungwa katika kushangilia akajikuta amekumbatiana na dada aliyekuwa jirani yake! ndo akawa mkewe
 
Mkuu hata kama huamini, huo ndo ukweli wa jinsi nilivyopata jiko ambalo mpaka sasa lina watoto wawili ke na me; na maisha yanasonga mbele kama tulivyoahiadiana siku ile kuhusu kuishi katika "tabu na raha". Aidha, hakuna sehemu nimeonyesha kuwa nilipata kura ya hapana. Wewe katafute mke au mme club uone matokeo yake.

Mi ninae mke,alhamdullah na vijana 2, hakuna kazi rahisi kama kutafuta mke ndani ya nchi yako, kutafuta mke nje ya nchi yako ndo ngumu zaidi.
 
Mi ninae mke,alhamdullah na vijana 2, hakuna kazi rahisi kama kutafuta mke ndani ya nchi yako, kutafuta mke nje ya nchi yako ndo ngumu zaidi.

Wake mbona wengi tu, tena idadi ya ni kubwa kuliko wanaume, kazi ipo katika kumpata anayefaa kuwa "mke wa mtu".
 
Hongereni wote mlio katika ndoa,
Nami siku nikimpata niwaletea story ya kukutana kwetu.
 
Aaaahhhhaaaaa nimefurahi sana hhhaaaaaa. Sikumbuki kama niliisoma hii thread but today nimecheka after a long day. Wow very interesting love stories kwa wale wanandoa ,yaani hhhaaaaaaaa , mtoa mada hongera kwa kuleta Mada hii , it was very nice, aaaaahhhhhaaaaa . Hongereni sana wanandoa na Mungu azidi kuzibariki Ndoa zenu milele , Amen. Thanks !
 
Back
Top Bottom