Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,776
- Thread starter
- #181
natamani kujua zaidi lol
Mimi pia hey ndugu imaney tujuze zaidi ikawaje.....!?
natamani kujua zaidi lol
nasubiri yako ujue
Wow usinikumbushe yangu jamani. It was epic lol, yani I just can't stop smilling nikikumbuka how we met (kwi kwi kwi kama nakuona unavyotamani kujua). Ntarudi kusimulia mwaya
afu weeeee rudi basi ndo nn kutulambisha asali
Teh teh teh si nakujua mmbea mwenzangu, ndo maana najifanya kutia mbwembe ili nikutamanishe tu mweeeee
Wangu tulikutana 10 ago, tulikuwa kanisani pamoja, as far as I can remember sikuwahi kumpa verses zozote, ila tilijikuta tukipanga maisha na ndani ya miezi 3 akaja UK kusoma, kaniacha bongo relationship bado changa kabisa, the communication was amazing, relationship iliimarika zaidi online for 2yrs of her studies.
Mipango yote tulifanya online na simu, nikakutana na ndugu zake yeye akiwa nje, mipango ikafanyika wazee wangu wakaenda kwao, nikalipa mahari. Kamaliza chuo kafanya mpango wa kazi kaipata then akaja bongo, nikamvisha pete, nikaenda kwao mara ya kwanza kwenye sendoff, ndio mara ya kwanza kuonana na wazazi wake. Shughuli ikaisha tukarudi Dar kanisani tulipokutana, tukafunga ndoa.
Baada ya mwezi tukaja UK, that was 8yrs ago. Tuna watoto twins boy and a girl. She's an amazing wife and great mother.
Maisha yanaendelea.
Good communication is key to any relationship no matter the distance.
Inamaana aliyekuoa ni huyo kaka wa hiari au BF wako?
Daah aisee mkuu THIS IS REAL AMAZING...! Congratulations you all...May GOD almighty bless you and your family!
kaka wa hiari
Mkuu Kizzy Wizzy nikupongeze sana kwa jinsi ambavyo umejibu coments za watu! Kwa kweli inaonyesha jinsi ulivyostaarabika!
Dah kumbe safari ya kutafuta mke ni ndefu ee?
Sina budi kuianza rasmi. Natangaza rasmi nia!
Nimepitia coments zote ikiwa ni mara yangu ya kwanza toka nijiunge jf haijawahi tokea mimi kupitia coments za kila page tena kwa umakini mkubwa namna hiyo! Nimeguswa sana na jinsi watu walivyoanza mahusiano kwa style tofautitofauti...Wapo ambao nadiriki kusema kuwa wameshushiwa mfano yule wa ATM card na yule wa aliyesinzia kwenye gari...Pia yule aliyechukua mtoto wa mwenye nyumba kipindi amepanga kama gheto wakati yupo o-level naye ilikuwa ni mipango ya Mungu tokea zaman na ilikuwa ni lazima itimie! Husninyo hapo naona katupeleka chaka tu ila huo huwa ndo utani wake siku zote!
Kiujumla hii post imebadili kabisa mtazamo wangu kuhusu just-mke na mke atokaye kwa Mungu
Hahaha hii life story imejaa siasa escrow na kura za hapana na ndio, ila tamu sana nasoma naiyona kama tv 3D
Mkuu hata kama huamini, huo ndo ukweli wa jinsi nilivyopata jiko ambalo mpaka sasa lina watoto wawili ke na me; na maisha yanasonga mbele kama tulivyoahiadiana siku ile kuhusu kuishi katika "tabu na raha". Aidha, hakuna sehemu nimeonyesha kuwa nilipata kura ya hapana. Wewe katafute mke au mme club uone matokeo yake.
Mi ninae mke,alhamdullah na vijana 2, hakuna kazi rahisi kama kutafuta mke ndani ya nchi yako, kutafuta mke nje ya nchi yako ndo ngumu zaidi.