Je, ulikutana na mpenzi/mke wako wapi?

mtaani kwangu kuna bar inaitwa 'nowhere bar'......labda alimaanishaa walikutana haapa kwenye hii bar.
Hana kwa maana ya hana. Mwenyewe anadai kua she says no ila ukimuuliza ya mwisho kusema no ni lini anaishia kucheka tu. hahahaha
 
nlikutana nae lodge ye anatoka na mtu me naingia na mtu tukakonyezana akaenda toilet nkachukua namba.
 
sio vimbwete vya engineering wakati wa kula.
Ule wali nyama ulikuwa mgumu kumeza
Hapana ni Hall 5 floor ya nane. Ule wali nyama haukua mgumu kumeza maana Bwashee alikuwa ananiwekea mchuzi wa kutosha
 
Humu kwenye hii thread ndio utajuwa under age na watu wazima wenye akili zao maana mtu yupo serious anauliza swali wengine mnasema chooni, tuwe tunaongea point atleast,me wa kwangu nimesoma nae toka shule ya msingi tupo pamoja na mpaka sasa.....
 
mie wangu nlikutana nae TBL nikiwa field chuo 1st yr. I really Praise that day for giving me this wonderful hubby!
 
Hapana ni Hall 5 floor ya nane. Ule wali nyama haukua mgumu kumeza maana Bwashee alikuwa ananiwekea mchuzi wa kutosha

then makutano junction ikawa ni pale katikati ya Hall 5 na Hall 7(chini ya wauza matunda,dukan)
kwenye kauwanja pale ikifika saa 2 usiku tu wawili wawili
 
Back
Top Bottom