Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
Hakuna neno la kiswahili linalotambulisha "mwanamume" au "mwanamke" "ki-jinsia" au "kinasaba"na ndiyo maana ni vigumu kuelezea maana ya "uume" na "uke" kwa maana hayo maneno katika kiswahili yanamaanisha moja kwa moja sehemu za "siri" na siyo "jinsia" au "maumbile" au "tabia"!