Je uke wa mwanamke upo wapi? kwenye maumbile au sura? na uume wa mwanaume?

Hakuna neno la kiswahili linalotambulisha "mwanamume" au "mwanamke" "ki-jinsia" au "kinasaba"na ndiyo maana ni vigumu kuelezea maana ya "uume" na "uke" kwa maana hayo maneno katika kiswahili yanamaanisha moja kwa moja sehemu za "siri" na siyo "jinsia" au "maumbile" au "tabia"!
 
Sina muda na wewe maana utachafua title yangu JF....Unaweza kufunda wewe au unajishaua tu? Ndo neno umeona la kunambia hilo? Fikiria kabla ya kuandika...

Usiyejijua kama u mke au mme! Khaaa! We fikra zako zi wapi? Uumeni au ukeni? Utajiju!
 
nimeishia kuwa mchekaji badala ya mchangiaji.
Faiza foxy na Magulumangu mmenchekesha na hiyo mipasho yenu...lol...
 
Usiyejijua kama u mke au mme! Khaaa! We fikra zako zi wapi? Uumeni au ukeni? Utajiju!

Dodoma ni Jiji (City) au Mji (Town)?
Started by FaizaFoxy‎, Today 02:52 AM
Replies: 6
Views: 90
Last Post: Today 04:36 PM
by Ulimakafu
Forum:
JF Chit-Chat
Hi
Started by FaizaFoxy‎, Yesterday 06:45 PM
12
Replies: 25
Views: 83
Last Post: Today 03:26 PM
by chatu dume
Forum:
Utambulisho (Member Intro Forum)
Results 1 to 2 of 2

Last Activity Today 06:34 PM
Join Date 9th May 2011

nitakujibu baadae
 
nimeishia kuwa mchekaji badala ya mchangiaji.
Faiza foxy na Magulumangu mmenchekesha na hiyo mipasho yenu...lol...

unajua sweetlady huyu dogo hajuilolote sasa najaribu mwelezea haelewi, hili jamvi la mapenzi jamani si wenyeji wanajuana jinsia zao au katika post tu unajua ni me au ke, halafu anauliza jinsia tena duh....
 
Msamehe bure mkuu, si unaona bado mgeni humu??
 
Msamehe bure mkuu, si unaona bado mgeni humu??

Ndo maana nikamwambia aende kwa wenzake kina mzee yusuph, wasema wasiolijua....lkn hakuelewa tu, nimeona nimwekee posts zake mbili alizoanzisha...anyway nilisamsamehe toka mwanzo....
 
"kuwa na wanawake wengi wengi siyo kipimo cha urijali"
urijali ni sifa ya uanaume, lkn sifa hiyo hutoweza kuifikia endapo utakuwa na mwenendo mbaya. Hivyo unaweza kuishia ktk sifa nyengine kama muhuni, basha, tapeli n.k.
Mawazo na challenges zenu zinaweza kunifanya nifafanuwe zaidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom