Je,tuuiteje?! Udini shuleni?

Nimegundua hakuna usawa katika pande hizi mbili,moja kama mtu mwenye akili timamu usiicomment kama umelewa kama **** mmoja hapo juu,jamani kila dini ina haki yake kwa nchi kama Tanzania!!Wanataka japo chumba wapewe ni haki yao na ni kila sehemu jamani!mkitaka tuongee hatutafika,mfano pale mabibo hostel kama ushaishi utakuwa shahidi,walokole wanavyumba maalumu na wanapiga kwaya zao kwa sauti na kila wanaosoma kwenye vimbweta inawaboa lakini hapo hii kitu haisemwi,nna hakika wangekuwa muslim wangeshaanzisha maandamano!!kama unabisha uliza siku za jumanne na alhamisi block C pale ni kelele mtindo mmoja je udsm ni chuo cha walokole na kama wana ruhusa je kila mtu anawezaomba ruhusa apige makelele sehemu za kusomea!!!
MAPUNGUFU YAPO SANA ILA TUNAPIGA KIMYA!!Naheshimu kila imani ya mtu hata muabudu jiwe!!
 
Hongera mkuu! wewe ndiye mkristo ! Hawa wapumbavu wanaokashifu ni freemason! wanajenga chuki baina ya waislam na wakristo ili watimize matakwa yao! Walaaniwe wote wanao kashifu dini za watu

tukianza na wewe unayeukashifu u-freemason siyo?
 
Walioleta hayo madini yenu wanapeta tu na maisha, wanafanya maendeleo ya kueleweka na wananchi wao at least wanapata huduma muhimu, nyie mtakalia na madini yao na kuendelea kupigwa na jua tu hapa nchini, bure kabisa, imani ndio zilizotufikishahapa tulipo, rushwa imekithiri, mfumuko wa bei unatisha, nyie labda mtadai MUNGU AKIPENDA mambo yatakuwa poa, bila hata ya kuchukua hatua zozote, wapuuzi wakubwa hao wanafunzi, wache wakakeshe na misahafu, tuone kama maendeleo yao yatakuja na koran!

ashabikiaye dini fulani hana akili kabisa na hasa kama ni mu-afrika aliyedandia dini za kiarabu au kiyahudi
 
Ndo akakwambia hii ni breaking news? Breaking news za kwenu zinauliza maswali?

Pls be clear. I was clear. Kwa mfano we uwe ni male au female. Una mume/mkeo.Unajua tabia /udhaifu wake,labda anapokula chakula,anatafuna mdomo ukiwa wazi kiasi kwamba inakuwa kero kwako,au anajikojolea kitandani kama mtoto mdogo,ama akilala usingizi,mdomo au macho yake au vyote viwili hafungi! Wewe umemzoea.Ni mkeo/mumeo. Wakija kufahamu watu wengine kwa namna yoyote,je si breaking news kwao?! Wewe kwako siajabu!
 
kitu simple kutambulike tu.. Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini wananchi wake wana dini kwenye mkusanyiko wakila jambo waumuni watengezewe nyumba za ibada zao. Mbona leo tukiwa kwenye mchanganyiko baina ya mwanaume na mwanamke katika mavyuo wanaume wanajengewa sehemu za kukojolea na wanwake wanajengewa kutokana na maumbile yao. Tatizo watanzania hatupendani
 
Dogo yule anafikiria na kuwaza mambo mengi! Februari mtihani, kurudi shuleni,hatma yake bado! Basi lol!
 
Back
Top Bottom