Manchid
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 217
- 447
Wadau kuna jamaa amesoma diploma ya procurement na akaomba degree education akapangwa. Yuko chuo mwaka wa pili sasa anapiga masomo ya history na kiswahili aliyoyaacha O-level.
Alipangwa kihalali na alikua na GPA ya 3.7. Sasa amekua akisoma kwa hofu sana kutokana na kutokuyasoma hayo masomo advance. Jee tumbua tumbua inamuhusu? Na kwanini alichaguliwa?