sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,718
- 4,252
Tumia huu ushauri mkuuIli kudumisha maisha ya Gari yako, nashauri pumzika Singida then Ingia Mwanza kesho yake utafika poa kabisa. Mi Ki Ipsum changu nilitoka Iringa nikalala Tabora kesho yake Mwanza tena Sengerema sikuona utofauti wowote mpaka sasa nadunda tu hapa Iringa.
Huu pia unafaaa mkuuInatoboa ila sina hakika kama ni moja kwa moja
Huu pia mkuuInatoboa mwanza mapema sana mkuu hata usiwaze kabisa mwanza mapema sana bila touch mwanza masaa 9