nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,609
- 4,097
Huyu mtu hata kama kafa lakini afikishwe mahakamani kwa makosa hayaNdiyo
- Alifilisi pesa zote katika mashirika ya hifadhi ya jamii
- Alianza kuchungulia katika account za watu na kuchota pesa zao
- Wakuu wa wiaya wengine nao walianza kuwa wezi akawa anawaangalia tu hadi wengine wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kufungwa
- Alitaifisha michango ya wananchi kwa wananchi wenzao waliopatwa na maafa ya tetemeko la ardhi huko Bukoba alizipeleka fedha hizo kusikojulikana
- Mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali alikuta kuna upotevu wa shs tillion maja na nusu alivyotoa taarifa aliondolewa madarakani kinyume na taratibu
1. Upotevu wa pesa 1.5 trillion
2. Ujenzi holela wa miradi huko chato
3. Mauwaji utekaji utesaji dhuluma aliyoifanya akiwa kabla ya kutwaliwa
4. Ubomoaji wa makazi ya watu kimara
Ukitaka kujua kuwa lilikuwa jitu baya angalia ghorofa la tanesco ubungo lilivyobomolewa kiharibifu wakati barabara Iko umbali wa zaidi ya MITA 30.
Alikuwa rais mharibifu sana