Je, Tanzania imewahi kuwa na Rais mwizi?

Kama hujui unasema sijui. Mwizi ni yule anayekimbilia kumnawilia mwenzake wakati aliiba hadi twiga kapandisha ndege. Fedha za viroba, Richmond, Epa, Kagoda, China, akaweka na waziri asiyesoma kuwa waziri wa elimu, elimu ikafa, hadi baraza la mawaziri likvunjwa kwa maana pm alijiuzuru ili kumlinda yeye. Fedha zote hizi ni ufisadi na wizi wa hadharani. Alikopa mikopo isiyojulikana ni ya nini na ilifanya nini. Nchi ilikuwa inachuzwa kama peremende. Nani asiyejua? Acheni dhambi za kuficha uharifu kwa sababu ya partialities.
Huyo unayembeza ndiye kiongozi aliyefanya kazi kubwa mno kuunganisha nchi,japo yule mwizi alikuwa anapunguza unene wa barabara ili ajinufaishe huku akitengeneza mabarabara yanayo bonyea hovyo,ache JK Apumue ale bata zake tartiibu.
 
Hayo ni majungu, na hayana proof kwamba ni yeye alihusika moja kwa moja. Alimlipiza nani visasi? Alimfanyia nani roho mbaya? Wewe unawezaje kujua zil 1.5t, ziliibiwa na yeye mwenyewe kwa maslahi yake binafsi? Naomba uwe specific. Sisi wanaume wengine hatupendi sana mitaarabu na mipasho isiyokuwa na grounds. Jitahidi kutusaidia msingi wa hoja.
mwanaume utakuwa wewe na mineno yako ya kwenye kanga? maajabu haya.
 
Wa nne alifanya miradi mingi kuliko huyo jambazi #5,so. Wote walikwara,ila huyu #5 alikuwa mkora katili,afadhali yule #4 alikwara akawaachia na nyie kidogo mkala mkashiba,huyu wa juzi kati hapa alitamani watu wafe atawale maiti.
huyo mbwa unayemueleza hawezi elewa chochote! ni pure kilaza.
 
Inawezekana Samia si katika hao na ndio ikawa shida kwa viongozi wa serikali ambao wameota mizizi ndani ya serikali tokea tupate Uhuru na hata marais wastaafu wanaonekana wakijichomeka kung'ang'ania serikali na sio serikali bali Raisi mpya anaeingia madarakani.

Hisia zinaonyesha kuna magenge ambayo mazoea yao yanaonekana kukatika au kukatwa na sasa wanafanya juu chini ili kutafuta mbadala wa Samia ili wizi uendelee kama kawaida.

Ndio nikauliza Tanzania imewahi kuwa na Raisi kibaka?
Nashindwa kukupa jibu la moja kwa moja lakini tujiulize rais anaruhusu viongozi wale kwa urefu wa kamba zao na wasivimbiwe sasa hii utaiitaje? Kuna wengine kamba zao zinafika kilomita tano!!!!!
 
Nashindwa kukupa jibu la moja kwa moja lakini tujiulize rais anaruhusu viongozi wale kwa urefu wa kamba zao na wasivimbiwe sasa hii utaiitaje? Kuna wengine kamba zao zinafika kilomita tano!!!!!
NA WEWE PIA KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO ACHA KULALAMA,HAIKUSAIDII KITU,HAPO KAZINI KWAKO KULA KULA KULA.
 
Nashindwa kukupa jibu la moja kwa moja lakini tujiulize rais anaruhusu viongozi wale kwa urefu wa kamba zao na wasivimbiwe sasa hii utaiitaje? Kuna wengine kamba zao zinafika kilomita tano!!!!!
Itakuwa umemuelewa kiulalamikaji,kiubishani kimpingo na kiupinzanii, ni sawa wapinzani ndivyo tunavyotakiwa tuwe ,panaposemwa kweli na serikali ni lazima tuseme imesema uwongo ,ndio siasa za upinzani na hata ushahidi unakuwepo kuwa amesema uwongo. Upinzani hutakiwi kuiunga mkono au kuipongeza serikali hilo ni mwiko na upawa. lazima itolewe kasoro kivyovyote vile ndio upinzani,ukiona vyama vya upinzani vinaunga mkono kauli za Chama kilichopo madarakani,hivyo vyama vimeanza kuyumba na havijui wajibu wao kama chama cha upinzani.

Kula kwa urefu wa kamba ni kawaida duniani kote,hilo lipo ,ila urefu wa kamba ni mipango na si udokozi katika hela iliyotengwa kwa ajili fulani,mahesabu yanatakiwa yawe sawa mwisho wa mwaka kwa mujibu wa matumizi,trilioni zikitoweka na zisijulikane zilipo hapo ndipo panapotakiwa uwepo uwajibishwaji kwa kosa la uzembe.

na pia ulaji usiharibu viwango na malengo yaliyowekwa ,waziri atoe maelezo na kuwajibishwa kama maelezo hayakukidhi na ya ubabaishaji na kisha apandishwe kizimbani.

Kuna siku atatokea Raisi na kuwafikisha maraisi waliopita Mahakamani, kama walivyofikishwa baadhi ya Mawaziri kwa raisi alie na uthubutu.
Au kikatokea chama kitakachoshika hatamu za nchi na kuweza kuishitaki au kuzishitaki serikali zilizopita na viongozi wake,maana kumbe majamaa ni matajiri wa kutisha.
 
Una ushahidi? Miradi aliyokuwa anajenga, inamtetea. Yule wa nne ndiye muasisi wa watu wasiojulikana kama hamjui. Watu walitekwa, wakang'olewa meno na kucha bila ganzi, vifo vya kina Dr. Mvungi na wengineo. Jamaa amekimbilia kujifanya mentor ili aendeleze umfia wake bila kuguswa. Jamani Wtz iweni na tahadhari badala ya kuongea tu kwa sababu za kujiburudisha. Jamaa ni balaa.
Shule za kata nchi nzima,barabara za rami kuunganisha mikoa,umeme wa REA,Kutoa maji ziwa victoria hadi Shinyanga,Kutafuta wahisani na kusaini ujenzi wa barabara za rami mitaani kwa kila mkoa,Ujenzi wa vinu vya kuzalisha umeme Kinyerezi 1 na 2 ambavyo vinatoa karibu 60% ya umeme wote tulionao sasa nchini,Kukuza kilimo kwa kuwezesha masoko ya uhakika,upatikanaji wa mbolea kwa bei nafuu na kuingia kwa Pawatira na Trekta kwa bei za chini kabisa,n.k.
Chuki utendesha dhambi kwa mwenye kuibeba.
 
Siyo Rais tu hakuna Mtanzania si mwizi. Tumezidiana viwango na athari za wizi tunaoufanya kwa maendeleo ya nchi yetu.

Ile 1.5 trillion iko wapi, hakuna jibu mpaka leo.

Nape alitaka review ya mikopo ya Magufuli angalia walivyocharuka hawataki .
 
Shule za kata nchi nzima,barabara za rami kuunganisha mikoa,umeme wa REA,Kutoa maji ziwa victoria hadi Shinyanga,Kutafuta wahisani na kusaini ujenzi wa barabara za rami mitaani kwa kila mkoa,Ujenzi wa vinu vya kuzalisha umeme Kinyerezi 1 na 2 ambavyo vinatoa karibu 60% ya umeme wote tulionao sasa nchini,Kukuza kilimo kwa kuwezesha masoko ya uhakika,upatikanaji wa mbolea kwa bei nafuu na kuingia kwa Pawatira na Trekta kwa bei za chini kabisa,n.k.
Chuki utendesha dhambi kwa mwenye kuibeba.
Yote hayo hayamfanyi kutokuwa mwizi au mtu mshenzi aliyetesa, aliua nk

Wewe unadhani kujenga barabara kunamfanya asiwe mwizi, au inaondoa ukweli kwamba alipoteza watu wakiwa hai.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kama kungekua na uwazi nchii hii yaani huyo jamaa ndo alikua balaa sema ndo hivyo aliokula nao wapo kwenye system bado wanaona haya kujivua nguo..

Huyo mzee kipindi chake alifunga watu midomo ili yake yasisemwe hata kidogo lakini kaiba pia...

Kuhusu swala la wizi watanzania wote sisi wezi tumetofautiana tu fursa za kuiba...sasa huyo jamaa analeta mahaba.
Kwa kifupi ni kama tulivyoambiwa. Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kwamba yake. Ila tahadhari inatolewa, hakikisha huvimbiwi na kuanza kutoa mashuzi.
 
Yote hayo hayamfanyi kutokuwa mwizi au mtu mshenzi aliyetesa, aliua nk

Wewe unadhani kujenga barabara kunamfanya asiwe mwizi, au inaondoa ukweli kwamba alipoteza watu wakiwa hai.
Hayo ya kuua na wizi sijayaona zaidi ya kusikia kwa haters kama wewe.
 
Back
Top Bottom