Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 955
Jana nimeangalia taarifa ya habari startv pakawa na habari kuwa waislam wameanza kuchambua katiba ya sasa ili kujiandaa kwa katiba mpya. Kuna mjumbe mmoja akawa anahojiwa yeye akawa anasema jumamosi na jumapili zilitengwa mapumziko kwa ajili ya dini fulani sasa wao hawajapendezewa nayo wanataka mabadiliko ya siku hizo,je kimantiki jumamosi ni kwa ajili ya dini fulani tu?kwani uarabuni(madina na makah) hawapumziki jumamosi na jumapili?