Question, kwanini wizara na mashirika nyeti yamejaa waislam tu?
Mkuu, mimi naishi Madinna. Mapumziko huku ni Alhamis na Ijumaa tu. Jmosi na Jpili ni siku za kawaida za kazi. Kwa sababu ya umuhimu wa mawasiliano na nchi nyingine za dunia, mataifa mengi ya kiarabu isipokuwa Saudia yameanza utaratibu wa kupumzika Ijumaa na Jmosi.