Asante,ila ndani ya theology kuna masomo ya education,sociology,nadhani pia naweza fanya postgraduate,naupokea ushauri wakoWewe ni mtu safi sana kwa ustaarabu. swali lako ni zuri na liko wazi. maana ya ualimu inaletwa na masomo ya ualimu kama vile psychology of education,philosophy of education,educational measurement,sociology of education and many others.kama ulisoma hayo masomo wewe ni mwalimu bila ya kujali academic subjects ulizosoma.ushauri wangu ni kwamba ongeza degree ya pili ili uombe kufundisha vyuo vikuu vya dini na vya serikali vya ndani na nje ya nchi.mfano the open university of tanzania wana masomo ya dini(ni taasisi ya serikali).