Je rukhsa kuoa mdogo wake marehemu mke wangu?

Tukiacha mazingira yote yanayozunguka kifo na chanzo cha mapenzi ya hao ndugu "Kure kwetu Mura, unaoa mdogo mtu bira matatizo" Ndugu wa mke, inasemekana anaweza kuwa na interest kubwa na watoto wa dada yake kuliko mtu baki... Politically speaking, halina tatizo... njoo niwaozeshe
 
ina maana waliacha mke ndio wakaoa HG? au walikuwa na HG kabla ya ndoa wakahamua kuoa kabisa?
Mkuu yote tu yanawezekana, unaweza kuwa na mkeo mkashindwana kwa namna yoyote ile kisha akiondoka watu wanaoa, pia wapo waio kuwa hawana wake wakaleta HG baadae kampenda anafanya kweli, wapo walikuwa kwa wazazi waka mind ma HG wakaoa.
maHG si ni wanawake tu kama wengine mkuu
 
Waungwana nisaidieni, kama mke wangu amefariki na kaniachia watoto wawili bado wadogo, mdogo wa mke wangu akaja kunisaidia kwa muds kuangalia watoto, ikatokea tukapendana na tunahaja ya kufunga ndoa, je imekaaje hii wa jameni?
Hili linahitaji ushauri na msaada wa kiroho zaidi. Ngoja tumsikilizie huyu mtumishi wa Mungu anasemaje hapa chini...

Tukiacha mazingira yote yanayozunguka kifo na chanzo cha mapenzi ya hao ndugu "Kure kwetu Mura, unaoa mdogo mtu bira matatizo" Ndugu wa mke, inasemekana anaweza kuwa na interest kubwa na watoto wa dada yake kuliko mtu baki... Politically speaking, halina tatizo... njoo niwaozeshe

Thread Closed!
 
Mkuu yote tu yanawezekana, unaweza kuwa na mkeo mkashindwana kwa namna yoyote ile kisha akiondoka watu wanaoa, pia wapo waio kuwa hawana wake wakaleta HG baadae kampenda anafanya kweli, wapo walikuwa kwa wazazi waka mind ma HG wakaoa.
maHG si ni wanawake tu kama wengine mkuu

Usisahau Ma baamedi pia.....wale maprofesa mlimani na Ardhi walioa wengi tu pale Igongwe Bar...sijui hii bar bado ipo?
 
Ni kweli kabisa mkuu,

Namfahamu mmoja aliyekuwa Hg somewhere na mtoto wa mwajiri akampenda, wakaoana na sasa wana watoto watatu mmoja anaitwa Rachel. It's one of the happy and lovely families here in dar, actually i admire them.:A S 103::dance:
 
Waungwana nisaidieni, kama mke wangu amefariki na kaniachia watoto wawili bado wadogo, mdogo wa mke wangu akaja kunisaidia kwa muds kuangalia watoto, ikatokea tukapendana na tunahaja ya kufunga ndoa, je imekaaje hii wa jameni?

Chiumbile Mungu cha kumemena, ila Je mkeo kafa kwa nini?:jaw:
Hahahahaha!

Watu ni wadadisi sana. Kwani kifo kipi kinafaa shemeji mtu kuolewa? (Najua utasema ajali)
 
whatever can be mkuu, hata kama kafa kwa ngoma(kama muuliza swali nawewe mnavyodhani) Mbona watu wanaowana tu hata kama mmoja kaumia mwingine yupo fresh.
Any way post za mwanzo zimeeleza amefariki wakati akijifungua
 
bado kuna utata ilikuwaje mpaka akafariki wakati akijifungua wakati wengine hawafariki? (samahani kwa hilo swali)
 
Mkuu what is your point? unataka nieleze kifo kilivyo tokea in details, what for?
any way i know ur poit, hajafa kwa ngoma
 
FD, asilimia kubwa ya wanawake wanafariki wakati wa kujifungua... hili linatokana na sababu mbali mbali, mojawapo ikiwa kutoka damu nyingi baada ya kujifungua, au complications nyingine zinazotokana na uzazi
 
Roho Wa Bwana amenielekeza nikuambie uteme mate chini na ujute dhambi zako zote hasa hii ya kukufuru. Vinginevyo...., usije ukasema sikukuambia.....
 
Wakati mwingine maneno yako na Avatar yako haviendani. Good point ajutie, lakini wewe vipi?
 
Mimi ndio hivyo tena. Mungu alishanisamehe siku nyingi. Kwasababu kila napokuwa na hangover zangu huwa namkumbuka sana....
 
FD, asilimia kubwa ya wanawake wanafariki wakati wa kujifungua... hili linatokana na sababu mbali mbali, mojawapo ikiwa kutoka damu nyingi baada ya kujifungua, au complications nyingine zinazotokana na uzazi
nilitaka maelezo kama hayo ingawa sikuwa na nia mbaya ila hata hivyo kupima ni kuzuri tujuwe status zetu sio kwa kuwa mkeo kafa wakati wa kujifungua ndio umrithi tu mdogo wake bila kupima

kuna mama mmoja mme wake alikufa kwa ajali ya gari halafu baada ya mwaka yule mama akafa kwa ngoma
 
Mkuu what is your point? unataka nieleze kifo kilivyo tokea in details, what for?
any way i know ur poit, hajafa kwa ngoma
nilitaka nijue kama alikuwa mkeo au mke wa jamaa yako ndio maana nikawa nakuchokoza

Pole sana kwa kufiwa na mke
 
Back
Top Bottom