Je, Rais wa Zanzibar si lazima awe na degree?

:) Siasa na elimu ni vitu tofouti.....unaweza kuwa na elimu lakini hujui siasa....na unaweza kuwa huna elimu lakini una siasa-na siasa ndo inaongoza nchi si elimu....mana unaweza kuwa na elimu lakini hujui kuongea na nchi jirani mara vita-unaharibu kila kitu kwenye nchi.......kumbuka kuongoza nchi lazima uwe unajua wapi pakuwanata wananchi........:):cool:
 
Hili mbona limesemwa na kurudiwa mara nyingi hapo juu, kinachojadiliwa siyo umuhimu wa elimu bali process ni ipi na je ilifuatwa?

Mbona tunakuwa wagumu kuelewa somo?
 
:) Soma sigumu ni wewe mgumu kufahamu....kwani wewe akilini kwako mtu anachaguliwa kuwa Raisi kwa elimu yake? Au kwa sababu watu wamempenda anavyo wapiga uongo?!!:)
 
Maswali ya msingi ni mepesi na ya moja kwa moja, wewe unachanganya na kuleta hyperboles.

Process ni ipi, na je ilifuatwa? Je mgombea wa CCM zanzibar ni lazima au si lazima awe na degree? Kama ni lazima Karume amekuwaje mgombea na baadaye rais bila ya kuwa na degree? Kama si lazima kwa nini the double standard?

Kuhusu elimu na uongozi nakaribia kuandika chapter ya kitabu kurudia rudia, hii thread haiko katika kusema eti kiongozi mwenye degree ndiye mzuri kuliko asiyeb degree.I am far too open mided to embrace such a simplistic notion.

Ona hapa narudia nilichosema mwanzo, swali si rais awe au asiwe na degree, swali ni utaratibu ni upi na je ulifuatwa?

Moja

Swali siyo whether anayo au hana, na mimi nitakuwa mtu wa kwanza ku disassociate leadership na formal education in general, ingawa formal education inafungua macho sana na under constant conditions mtu mwenye formal education anakuwa na upeo mkubwa kuliko asiye na formal education, the stress is "under constant condition".

Swali ni, utaratibu ni upi? Anatakiwa kuwa nayo au si lazima? Na Je Karume alifuatisha utaratibu au hakufuatisha?

Nikaendelea

I will be the first to say, and actually I have said, that degree/ formal education does not go hand in hand with leadership, one only has to look at the macabre political demise of Thabo Mbeki, that most intellectual of the modern African presidents who was once hailed as the personification of an African Renaissance, but his intellectuallism and dabbling into pseudoscience was pivotal in his undoing.So far from imposing what can so easily be characterised as unconstitutional elitism, I am very aware of the implication of shutting out a good segment of the population with talent but not the fortune of having gone through the formalities of a degree.Far from it I am holding CCM responsible to adhere to it's own standards.

Karume amepataje kuwa rais bila degree wakati chama chake hakiruhusu mgombea urais asiye degree? Kuna mchezo ulitembea ku force king hapa?
 
Hujui tofauti kati ya "Wikipedia haionyeshi kama ana degree" na declaration ya kusema "hana degree". Unachukulia hiyo kauli, ambayo ni changamoto kwa yeyote mwenye records za degree yake, kuwa ni kauli ya kusema hana degree.

Kwa hiyo kwa kuwa nimesema wikipedia is not authoratative, then i have to produce my own source..what kind of thinking is this?

This is Aristotlelian logic coupled with non-Euclidean constructs in a Minkowski model of the Kaluza-Klein space-time continuum, I understand why you understand I dont understand while I understand you don't understand.

Ok, hata kama sieleweki, sioni ni wapi umuhimu wa degree unaweza kuhusiana na kuwa degree..labda unaona mafungamano, mimi nasikitika siyaoni.

Najua huoni mafungamano,kitu pekee unachoona ni maluweluwe. Nimeeleza kitu ninachotafuta ni process ni ipi na je ilifuatwa, haya mambo ya detachment ya degree vs leadership nimeelezea sana hapa.

Ok, maswali ya kisisiem nadhani wanachama wapo watakujibu...

This resignation and apathy is characteristic of the folly of our populace.Yaani katika hii single party system yetu bado watu wana audacity ya kususia "mambo ya CCM" kama wana alternative vile!
 
Hujui tofauti kati ya "Wikipedia haionyeshi kama ana degree" na declaration ya kusema "hana degree". Unachukulia hiyo kauli, ambayo ni changamoto kwa yeyote mwenye records za degree yake, kuwa ni kauli ya kusema hana degree.

teh teh teh..its very clear unatafuta ligi..actually nikukumbushe kuwa ni wewe uliyetoa hypothesis na kutoa weak evidence ..wikipedia, sasa naona unaanza sarakasi..lakini i have no time for ligi ya kombe la mbuzi..
 
This is Aristotlelian logic coupled with non-Euclidean constructs in a Minkowski model of the Kaluza-Klein space-time continuum, I understand why you understand I dont understand while I understand you don't understand.

Its illogical mtu anapokwambia source uloleta sio yenyewe na wewe unamwambia lete yako..I'm too big for silly Tu quoque .
 
Najua huoni mafungamano,kitu pekee unachoona ni maluweluwe. Nimeeleza kitu ninachotafuta ni process ni ipi na je ilifuatwa, haya mambo ya detachment ya degree vs leadership nimeelezea sana hapa.

Ok, I'm grateful kwa kuona maluweluwe kwa niaba yangu, i'm severely indebted ..lol. i thought umesema degree sio muhimu na mimi nikasema hivyohivyo na hata hivyo nikasema its no longer an issue, pekua kwenye x-files za JF kuhusu Karume na Open Univ. utakuta some info, maybe itasaidia.

Furthermore, ukasema sieleweki kwa kudai nimesema elimu si muhimu na at the same time nimesema Karume ana degree..Ok nika-excuse your distortion, nikasema mafungamano ya kuwa na degree kwa Karume na umuhimu wa degree hayapo, which is veri clear no connection whatsoever.

SItoenda kwenye maswali yako ambayo umejijibu na kuyatolea majumuisho, kwa sababu kama nilivyosema sina muda wa ligi ya kombe la mbuzi..adios
 
Hivi Zanzibar kuna Rais?huyu si ni yule aliyepitishwa na vifaru na magari ya deraya ,vitisho na kejeli nyingi?Kwani chaguzi za Zenj ni halali!Na hii degree nayo!
 
Unahaitajika uwe na IQ ya kutoelewa ili upewe urais .
Degree haiwezi kuwa kipimo cha kupewa Urais hata siku moja. Haitoshi hiyo. Hivi wewe huoni kuna watu wana degree na mambo yao ni ovyo tu? Kwani humu katika JF hakuna watu wenye degree -niambie hivi kweli hawa wanafaa kuopewa Urais?
 
:confused::confused:
 
teh teh teh..its very clear unatafuta ligi..actually nikukumbushe kuwa ni wewe uliyetoa hypothesis na kutoa weak evidence ..wikipedia, sasa naona unaanza sarakasi..lakini i have no time for ligi ya kombe la mbuzi..

Ni wazi huelewi maana nzima ya concept ya kutumia wikipedia kama point ya kuanzia upelelezi vs kutumia wikipedia kama ushahidi, hata baada ya kusomeshwa na kupelekwa summer school.
 
Ona hapa hili limepitiwa kwa kina, na mifano husika imetolewa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bar-si-lazima-awe-na-degree-3.html#post460978

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-law-forum/29337-je-rais-wa-zanzibar-si-lazima-awe-na-degree-3.html#post460978
 
Watu naona mnashindwa kuelewa swali na mna zunguusha hii mada mpaka maana ya swali lenyewe lililo ulizwa lina potea. Bluray kauliza ni je kama utaratibu wa kupatikana raisi wa Muungano kwa mujibu wa CCM ni lazima mgombea awe na degree ni hivyo hivyo kwa kupata mgombea wao urais kwa Zanzibar? Mnaanza kuzungusha mambo kwa kusema oh elimu siyo lazima kwenye uraisi, kwani nani kabisha? The question is kuna double standards kwenye sifa za mgombea uraisi Muungano na Zanzibar? Kama mtu unajua kuwa Karume alikua na degree kabla ya kuwa raisi wa Zanzibar tuambie then itaonyesha kuwa hakuna double standards. Bluray keeps saying time & time again kuwa hajasemaelimu ni lazima kwa uraisi watu bado mna ng'ang'ania the same issue kuonyesha hamna jibu. Sawa elimu siyo lazima ila utaratibu wa degree si wameji wekea wenyewe CCM? Kama wameuweka hivyo basi wana fuatisha kigezo hicho hicho kwa uraisi wa Muungano na Zanzibar? Au kuna vigezo tofauti vina tumika? Jibuni swali siyo kucreate hoja ambazo hazipo.
 
Labda useme wewe Mwanafalsafa1 baadhi ya watu watakuelewa. Nashukuru wewe umeweza kunielewa vizuri na ku articulate eloquently kile nilichouliza.
 
Swali siyo whether anayo au hana, na mimi nitakuwa mtu wa kwanza ku disassociate leadership na formal education in general, ingawa formal education inafungua macho sana na under constant conditions mtu mwenye formal education anakuwa na upeo mkubwa kuliko asiye na formal education, the stress is "under constant condition".

Swali ni, utaratibu ni upi? Anatakiwa kuwa nayo au si lazima? Na Je Karume alifuatisha utaratibu au hakufuatisha?

Najua sifa za rais wa Tanzania ni lazima awe na degree, kwa Zanzibar ni hivyo au sivyo?

Wikipedia hawaonyeshi kamba ana degree

Mkuu wapi umetoa kipengele cha kuwa Rais wa Tanzania lazima awe na degree? Naomba nukuu ulipotoa, au ukisisitiza unajua, umejuaje?
Amani Abeid Karume - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu wapi umetoa kipengele cha kuwa Rais wa Tanzania lazima awe na degree? Naomba nukuu ulipotoa, au ukisisitiza unajua, umejuaje?
 
Ni wazi huelewi maana nzima ya concept ya kutumia wikipedia kama point ya kuanzia upelelezi vs kutumia wikipedia kama ushahidi, hata baada ya kusomeshwa na kupelekwa summer school.

Concept ni ipi..hii ni thread mshenzi hamna cha vyonsept wala konsept. Wewe endelea na ligi za mbuzi .. wewe umeuliza ..halafu umesema..halafu umehitimisha kuwa Karume hana degree..sasa ndio hapo sisi wengine hatuna mbavu tunakuacha uendelee kutuvunja mbavu. Sijui labda comedy siku hizi imekuwa-labeled concept..lol
 
teh teh teh..its very clear unatafuta ligi..actually nikukumbushe kuwa ni wewe uliyetoa hypothesis na kutoa weak evidence ..wikipedia, sasa naona unaanza sarakasi..lakini i have no time for ligi ya kombe la mbuzi..

lakini naona una ligi na avatar yangu, mbona wewe mbinafsi namna hiyo?
 
Back
Top Bottom