Binafs huwa simsikilizi JPM.
Hana kitu kipya kwangu.
Kauli inaweza kutolewa na mbwa na si binadamuNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
We mzee pole sana police wamekosea sanaWameshikwa hadi akili na wajinga wachache hawa
hujasikia kauawa akiwa kwenye daladala? maana yake ni kuwa polisi walikuwa wakifyatua risasi hovyo na kulenga hata raia wasio na hatia wenye shughuli zao...ina maana hata wewe ungepita njia hiyo ungeweza kuuawa na polisi hawa washenzi!huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Mkuu shukrani sana umegongea vitu vya nguvu kabisa, hili jeshi linahitaji reform kama ulivyosema lifanyaiwe capacity building maana limepoteza muelekeo. inaonekana hawajui hata nafasi yao katika demokrasia ya vyama vingi. indeed they are behaving like mercinaries instead of being the police force.Jeshi hili la polisi linahitaji 'Reforms' kwa kiwango kikubwa sana kwani limepoteza maana ya kuitwa Police Force na sasa limekuwa ni askari wa kukodiwa 'Mercenaries' wa ccm.
Wao sasa kazi ni ku-deal na Chadema. Limekuwa jeshi la polisi la hovyo ktk dunia hii kwa sasa ila ujinga wanaoufanya ni kujidanganya eti wanatii amri kutoka juu.
Kwenye sheria, kutii amri toka juu haiwezi kutumika kama utetezi na iko siku watakuja kuliona hili.
Polisi kote duniani wana kanuni na taratibu zao za kufuata ktk kufanya kazi zao na KAMWE hawapashwi kuamurishwa na mtu yeyote hata awe nani.
Ukiona polisi ambao muda wote wao ni kujishughulisha na wanasiasa basi ujue hilo jeshi sio 'Professional' ni genge la watu waliopewa tu hisani ya ajira na sasa wanarudishia fadhila kwa mabwana zao na ndipo lilipo hili jeshi la polisi Tz. Very regrettable indeed.
Mercenaries wa ccm, nawachukia sana.
Naanza kuwaelewa wanaojitoa mhanga
huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Inamaana bila kukusanya watu na kuandamana wasingepewa hizo hati?viongozi wenyewe hawatoshi?mbona watoto wao hawakuwepo kwenye maandamano?Ilibidi ujiulize kwanza swali kuwa ni haki kutumia silaha za moto ilihali kuna maandamano ya amani? kisha uulize hayo maswali yako
Hao ndugu zake maafande hawatakiwi kuumia,na wakiumia basi ni wanafiki wakubwa.Huyo Akwilina aliyeuawa ana ndugu zake maaskari wameumizwa pia. Haya mauaji yakiendelea hata maaskari watamchoka magufuli na atakosa pa kukimbilia.