MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Leo ni mwaka wa 6 toka Tundu Lissu apigwe risasi mchana kweupe jiji dodoma.
Upelelezi wa tukio hilo bado haujulikani licha ya Tundu Lissu kurejea nchi kama jeshi la polisi lilivyosema linamsubiri arudi ili upelelezi ufanyike. Pamoja na tundu lissu kuwepo bado jeshi la polisi halitautangazia umma kuwa upelelezi umeanza.
Ni vema jeshi la polisi likafanya upelelezi ili wahusika wa tukio hili wakakamatwa na kufikishwa mahakamani kinyume chake wahalifu watampiga tena risasi mwananchi mwingine kwa hoja kuwa jeshi la polisi halina uwezo wa kuwakamata.