Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,910
- 156,022
Uadui kati ya Osama na Waislam na Uislam, je ulisabababishwa na Osama au ulikuwepo hata kabla ya Osama?
wacheni uzandiki
unaoenekana una matatizo pengine mume kodi chumba kimoja familia nzima. itabidi mtenganishwe unaweza kuvunja ndoa
Uadui kati ya Osama na Waislam na Uislam, je ulisabababishwa na Osama au ulikuwepo hata kabla ya Osama?
Marekani wana visa vyao, wameona Waarabu tu ndio magaidi na ugaidi ndio uislam. Carlos Sanchez The Jackal naye alikuwa Mwarabu? Je alikuwa Muislam? Mbona hawakuuita Ukristo kuwa ni ugaidi? Mbona Walatini wahakunyanyapaliwa?
jamani, mboni mnakua na mawazo potofu???... The americans do not hav any war with the muslims, but they hav a war with alquaeda.... Hayo ni maneno ya obama mwenyewe, not me,,,
kwani ndani ya wamarekani wenyewe si kuna muslims kibao, sasa ina maana government ya marekani ina vita na wananchi wake yenyewe?? Nooo, haiwezekani,,, wacheni uzandiki
Lakini watu wengi wanayofanya matendo ya kigaidi ni waislam kwanini,alshabab alqaida,muslim brotherhood and the like why all these guys who had knowlegde of muslim religion they appear so cruel to other people'imnt say that others cnnt do ,but why muslim with these movement of human explosion??
Ni lini marekani imewahi kutamka kuwa magaidi ni waarabu au waislamu? Hizo ni hisia tu. Ninavyojua Marekani ingetamka rasmi hivyo, ninavyojua ndugu zetu, wanaweza kufanya maandamano makubwa sana duniani na hata kusababisha vifo.