Je Osama alianzisha Uadui kati ya Marekani na Waislam?

Marekani wana visa vyao, wameona Waarabu tu ndio magaidi na ugaidi ndio uislam. Carlos Sanchez The Jackal naye alikuwa Mwarabu? Je alikuwa Muislam? Mbona hawakuuita Ukristo kuwa ni ugaidi? Mbona Walatini wahakunyanyapaliwa?
 
Hivi yule jamaa yake Carlos aliyekuwa mzaliwa wa Sudan alikuwa anaitwa nani vile? Bora hakutia Waafrika matatani.
 
jamani, mboni mnakua na mawazo potofu???... The americans do not hav any war with the muslims, but they hav a war with alquaeda.... Hayo ni maneno ya obama mwenyewe, not me,,,
kwani ndani ya wamarekani wenyewe si kuna muslims kibao, sasa ina maana government ya marekani ina vita na wananchi wake yenyewe?? Nooo, haiwezekani,,, wacheni uzandiki
 
marekani haina uadui na uislam kama dini. lakini kama kinara wa ubepari marekani itakuwa na uadui na kitu chochote kitakachokuwa kinapambana na ubepari katika forms zake zote. uislam utumikapo kama itikadi dhidi ya ubepari na ubeberu, lazima utagongana maslahi na marekani, na hapo ndo uadui utakapoanza.
 
Uadui kati ya Osama na Waislam na Uislam, je ulisabababishwa na Osama au ulikuwepo hata kabla ya Osama?

Kichwa cha habari na jinsi ulivyouliza hapo kwenye post, ni vitu tofauti. Tukujibu ulichouliza kwenye kichwa cha habari au kwenye post?
 
Marekani wana visa vyao, wameona Waarabu tu ndio magaidi na ugaidi ndio uislam. Carlos Sanchez The Jackal naye alikuwa Mwarabu? Je alikuwa Muislam? Mbona hawakuuita Ukristo kuwa ni ugaidi? Mbona Walatini wahakunyanyapaliwa?

Ni lini marekani imewahi kutamka kuwa magaidi ni waarabu au waislamu? Hizo ni hisia tu. Ninavyojua Marekani ingetamka rasmi hivyo, ninavyojua ndugu zetu, wanaweza kufanya maandamano makubwa sana duniani na hata kusababisha vifo.
 
Lakini watu wengi wanayofanya matendo ya kigaidi ni waislam kwanini,alshabab alqaida,muslim brotherhood and the like why all these guys who had knowlegde of muslim religion they appear so cruel to other people'imnt say that others cnnt do ,but why muslim with these movement of human explosion??
 
jamani, mboni mnakua na mawazo potofu???... The americans do not hav any war with the muslims, but they hav a war with alquaeda.... Hayo ni maneno ya obama mwenyewe, not me,,,
kwani ndani ya wamarekani wenyewe si kuna muslims kibao, sasa ina maana government ya marekani ina vita na wananchi wake yenyewe?? Nooo, haiwezekani,,, wacheni uzandiki

The Americans have war with the muslims, huu ndio ukweli, hata kama unachukia, vumilia tu.
 
Lakini watu wengi wanayofanya matendo ya kigaidi ni waislam kwanini,alshabab alqaida,muslim brotherhood and the like why all these guys who had knowlegde of muslim religion they appear so cruel to other people'imnt say that others cnnt do ,but why muslim with these movement of human explosion??

Amka Bwana,

Nani kaivamia Iraq kwa mabavu na kuiba mafuta yake ? na kutanganya watu eti Iraq inasilaha za maangamizi!!?

Nani kaivamia Afghanistan na kuiteka nyara mpaka hivi leo ? na kuuwa waafghanistan kama wanyama ?

Nani anaisadia Israel kuitawala palestine kwa mabavu ?

nani kawahi kutumia Nuclear bom kwa mara ya kwanza ?

Tafuta jawabu za maswala haya kisha utamjua nani anafanya matendo ya kigaidi duniani.

Usidanganyike na propaganda za media (media zina controliwa na wao wenyewe)

Hata 11 september ni trick iliyo fanywa na wao wenywe wakawazingizia waislamu ili wapate support ya kuteka inchi za watu kwa mabavu.

Tazama video hizi,

9/11: The biggest lie in history!

Watch this video from White-Americans proving that the Pentagon-bombing was done by a Global Hawk drone! No human-bodies, no airplane-debris of boeing 757, and no luggage were found! Also, no noise was either recorded or detected by any ordinary person!

Ni lini marekani imewahi kutamka kuwa magaidi ni waarabu au waislamu? Hizo ni hisia tu. Ninavyojua Marekani ingetamka rasmi hivyo, ninavyojua ndugu zetu, wanaweza kufanya maandamano makubwa sana duniani na hata kusababisha vifo.

Haina haja ya kutamka, vitendo vyao vinaonyesha.
 
Back
Top Bottom