Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa haki sawa tunaleta siasa.
Nilijiuliza sana bila kupata jibu zuri. Kama kweli viongozi wetu wanapenda maendeleo na demokrasia ni kwanini wanapinga au wanasubiri kulazimishwa kubadili katiba? Kwanini watu wanajiita wazalendo halafu hawataki demokrasia kwa upande mwingine? Uzalendo gani bila haki!!.
Tuombee nchi yetu hasa vijan wetu waamke na kudai demokrasia na sheria nzuri za haki kwa manufaa ya nchi yote na sio chama au vyama. Tuonsokane na hizi aibu mpaka Malawi wametuzidi kwenye demokrasia!!