Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
I do not wanna be outdated ngoja nami nijiite Masanil...hii nikizungu zaidi ama kihindi ?
Hehehehe.....wewe jiite Mase au Mason...Lol

Hao wamepitiwa na kasumba za kizungu na wanaona aibu kuonekana Waafrika au watu wa kabila/ukoo fulani........Kwa kifupi ni kutojua thamani ya uasilia wao.
Wanaobadilisha majina yao hawana tofauti na wanadada na baadhi ya wanaume kama mabinti wanaopaka mikorogo waonekane wazungu......
Hehehehe.....wewe jiite Mase au Mason...Lol
kwani kuna tofauti gani na wale wenye majina kama charles lakinikiswhaili wataitwa Chale au Grace....Gilesi and so on and so forth inamaana nayo ni kasumba?...just curious.
Ama Kelly au Keli ? Mzima shem lakini?
kwani kuna tofauti gani na wale wenye majina kama charles lakinikiswhaili wataitwa Chale au Grace....Gilesi and so on and so forth inamaana nayo ni kasumba?...just curious.
Wow! very good cupcake!
Nyongeza tu....George - Joji, Paul - Paulo,
Waungwana,
Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza kwa kipindi kirefu. Kitu hiki kinahusu kugeuza majina ya kikabila na kuyapa uzungu bila sababu za msingi.Labda kuna sababu ambayo siijui. Inakuwaje kwa mfano mmaasai anayeitwa Laiza kugeuza jina na kujiita " Laizer/Laiser", au mchaga anayeitwa Hoi-se na kujiita "Hoyce"..
wapo pia wale wanaoongeza "s" mwisho wa majina yao kama "Mnzavas", "Matingas" au kugeuza kabisa jina kama vile Juma kujiita " "Jimmy"
Inakuwaje hii? watu wanaonea aibu majina yao au wanafikiri kuyapa nakshi ya kizungu/kigeni ndio ujiko?Nahitaji somo hapa.
nothing african sells, i guess..... Thabit akajiita Thabeet... rafiki yangu mmoja mamake kamwita Koni , miak imepita dada kagundua how african the name sounds akabadilisha sasa hivi no Connie.....
langu sasa nabadilisha from shishi to shishy... how abt that??? tsk tsk tsk
Now you are talking!nothing african sells, i guess..... Thabit akajiita Thabeet... rafiki yangu mmoja mamake kamwita Koni , miak imepita dada kagundua how african the name sounds akabadilisha sasa hivi no Connie.....
langu sasa nabadilisha from shishi to shishy... how abt that??? tsk tsk tsk
Waungwana,
Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza kwa kipindi kirefu. Kitu hiki kinahusu kugeuza majina ya kikabila na kuyapa uzungu bila sababu za msingi.Labda kuna sababu ambayo siijui. Inakuwaje kwa mfano mmaasai anayeitwa Laiza kugeuza jina na kujiita " Laizer/Laiser", au mchaga anayeitwa Hoi-se na kujiita "Hoyce"..
wapo pia wale wanaoongeza "s" mwisho wa majina yao kama "Mnzavas", "Matingas" au kugeuza kabisa jina kama vile Juma kujiita " "Jimmy"
Inakuwaje hii? watu wanaonea aibu majina yao au wanafikiri kuyapa nakshi ya kizungu/kigeni ndio ujiko?Nahitaji somo hapa.
Need to repackage and reposition siyo?[/QUOTE]
Hewala! hata makampuni yakiona biashara haiendi vizuri lazima wawe na stratetgy ya ku -rebrand, repositioning n.k.
sasa hapo huoni Thabit kwa mchezaji mkuu Marekani hainogi kabisa. ubaya ni wale wanobadilisha majina hata kwenye vyeti ... kama ni la ku-strategise tu basi poa.
pulease......usibadilishe,, mbona apo ndo linanoga tu!
Mkuu,Need to repackage and reposition siyo?[/QUOTE]
Hewala! hata makampuni yakiona biashara haiendi vizuri lazima wawe na stratetgy ya ku -rebrand, repositioning n.k.
sasa hapo huoni Thabit kwa mchezaji mkuu Marekani hainogi kabisa. ubaya ni wale wanobadilisha majina hata kwenye vyeti ... kama ni la ku-strategise tu basi poa.
Ndio maana nikafurahia sana jibu lako maana limejumuisha kila kitu!