Je, ni lipi suluhisho la mwanaume kufika kileleni mapema?

Habar wana Jf,

Huwa nawai sana kushusha huwa najitahidi sana kuchukua mda mrefu kwa maandalizi lakini bado nawaikushusha na nikishusha 1 tu, uume husi nyaa kabisa na huchukua mda mrefu sana kusimama tena hii hali inanitesa sana.Naombeni

Ushauri wa tatizo hili mana linanitesa sana
 
Ndugu kuna dawa na tiba ya kutibu tatizo la NGUVU ZA KIUME ,uume KUSINYAA,KUWAI KUFIKA KILELENI,KUKOSA HAMU ya TENDO la NDOA KUCHOKA MAPEMA,ZILIZOTOKANA ZIMETENGENEZWA NAA MIMEA ASILIA,MATUNDA NA MAZAO YA BAHARINI,KUNA DAWA NA TIBA NI BORA NA NZURI KWA AFYA YAKO YA UZAZI.ANAHITAJI ANIPM AU NAMBA 0717556768
 
Habari Wakuu!

Nimekumbwa na tatizo la kuwahi kumaliza tendo la ndoa, yaani inachukua kama dakika 10 na baada ya hapo inanichukua mda mrefu sana kama saa nzima hadi kurudia tena tendo. Nimeanza kuwa na mashaka kwamba huenda nitakuwa nimekumbwa na tatizo ambalo silijui, nahitaji msaada wenu jamani.
Nawasilisha.
 
Fanya mazoezi, kula mlo kamili, pata muda Wa kulala, tumia mchanganyiko Wa vijiko viwili vya asali, kijiko kimoja cha habatsoda Changanya kwenye glass ya maziwa ya moto kunywa asubuhi na jioni muda Wa cku 30 inshallah utakuwa imara kama Simba!

Pia tafuna Karanga mbichi, pweza, matikiti Maji, ndizi mbivu za matunda nk
 
MZEE RAZA, nakushukuru sana Mkuu kwa mawazo mazuri japo nilipo Pweza hawapatikani ila kwa vitu vingine niko navyo kwenye mazingira yangu.
 
Habari Wakuu!

Nimekumbwa na tatizo la kuwahi kumaliza tendo la ndoa, yaani inachukua kama dakika 10 na baada ya hapo inanichukua mda mrefu sana kama saa nzima hadi kurudia tena tendo. Nimeanza kuwa na mashaka kwamba huenda nitakuwa nimekumbwa na tatizo ambalo silijui, nahitaji msaada wenu jamani.
Nawasilisha.
Sikia, Fanya zoezi la kukaza msuli unaobana mkojo, kila ukisimamisha kaza msuli kama unabana mkojo usitoke bila kuachia ndani ya dakika nzima bila kupumzika,(ingawa ata sekunde 10 unaweza usifikishe kama kweli una ilo tatizo) epuka kubana pumzi we pumua kama kawaida,rudia ilo zoezi mara kwa mara unaposimamisha paka cku utakapofikisha dakika 2 bila kupumzika utakua umepona kabisa(achana na dawa)
 
...kwani mshipa/njia inayopitisha mkojo ndio njia inayopitisha mbegu?!, bora ale matunda km alivyoambiwa na mlo kamili.
 
...kwani mshipa/njia inayopitisha mkojo ndio njia inayopitisha mbegu?!, bora ale matunda km alivyoambiwa na mlo kamili.
We hujui alafu ujijui kwamba hujui,msuli cyo bladder yakupitisha mkojo au mbegu(refer biology yako form3) niivi msuli unaobana mkojo ndio unaofanya uume usimame kama huamini jarbu kama unabana mkojo saiv utaona kitu kinataka kusimama, ss huo msuli ukikosa nguvu kusimama mda mrefu utawai kumwaga, ndomaana mtu aliyeishiwa nguvu za kiume akikojoa mkojo wake hua hauendi mbali kwa speed coz msuli umelegea, kinachotakiwa nikuufanyisha mazoezi huo msuli adi ukakamae usilegee,ukibisha ni asili yako
 
Back
Top Bottom