Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
Habari wana jf wenzangu,nilikuwa nauliza je ni kweli kuwa endapo mwanaume atafanya mapenzi na mwanamke siku ambazo mwanamke anaweza kupata mimba,je wakimaliza kufanya mapenzi na yule mwanamke akaenda kunawa na kujisafisha muda huo huo,je ni kweli kuwa huyo mwanamke hawezi kupata mimba?