Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,945
- 5,849
Ndugu zangu.
Tumekua tukitishwa sana na hawa dada zetu na mama zetu kwamba mwanamke akikulisha wewe mwanaume damu yake ya hedhi kuwa unakufa pole pole, jambo hili limepelekea pia baadhi ya wanaume kunyanyasika sana pindi wake zao/ wapenzi wao wanapokua katika siku zao na kujikuta kutumikishwa na wanawake wa wapo mwezini kwa kuogopa kuwekewa damu ya hedhi kwenye chakula maana hawa viumbe wakiwa kwenye siku zao wanakua visirani sana
Je, ni kweli kwamba damu ya hedhi ya mwanamke ina uwezo wa kumuua mwanaume kimnya kimnya na kwa muda mrefu kidogo pindi anapolishwa au kunyweshwa kwa namna yeyote ile au ni uvumi tuu wakututishia sisi wanaume ?