Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,018
- 1,508
Mambo zenu wakuu?
lnasemekana wanawake wanaishi duniani kwa muda mrefu zaidi ya wanaume. Binafsi nakuwa mgumu kuamini kwa sababu, iwapo utawaweka pamoja mwanamke na mwanaume wenye umri sawa, mwanamke ataonekana mkubwa kuliko mwanaume, tena mwanaume mtu mzima anakua na nguvu ya kuhimili kumzidi mwanamke wa makamo
Isitoshe hata kwenye mahusiano ni kawaida kwa mwanaume kuwa mkubwa kumzidi mwanamke, hii ni kwasababu mwanamke anakua kwa haraka kumzidi mwanaume na kwakua mwanamke anakua kwa haraka kumzidi mwanaume inamaana pia mwanamke anawahi kuzeeka kabla ya mwanaume wenye umri sawa
Ikiwa ni kweli wanawake wanaishi kwa muda mrefu duniani kuliko wanaume, basi itakua wanaume wengi tunakufa tukiwa bado tunanguvu zetu huku wanawake wakiendelea kuishi haliyakuwa ni wazee/vikongwe.