Je ni kweli vijana tz wanatumika kama madaraja ya wanasiasa kupata madarakaz?

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Ni kinachojitokeza ktk kipima joto itv,vijana wanajitahidi kujenga hoja lakini wengine wanatoka povu wanajichanganya.kikubwa kinachojitokeza hapa ni suala la ajira.vijana wanaonekana kulalamika kuwa wametengwa.hawajashirikshwa ipasavyo wakati wao ni chachu ya mabadiliko.
 
Ni ktk kipimajoto itv.vijana ni wkali na wapo hot sana.wengi wanakubaliana kwamba ni kweli vijana wanatumika vibaya,wanawapa wazee madaraka kisha wanatelekezwa.wanakubaliana kwa pamoja kuwa vijana tubadilike,tushirikiane tutoke.
 
Mchangiaji mmoja amesisitiza kuwepo kwa baraza la vijana la taifa litakalowaunganisha vijana wote bila kujali itikadi za vyama
 
kwanza tuwe wamoja tuliua JKT ambayo ilijenga jamii tumebaki kusambatishwa na vyama. Turudi kwenye msingi huo hatuna ujanja.
 
Heche anaongea now,abt vijana na uongozi esp wabunge vijana ex kina nasari,makamba etc
 
Back
Top Bottom