fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
Inasemekana wabongo kwa upole na ukarimu ni nambari wani.cheki hii.
Eti m'bongo akifariki na kwenda mbinguni huwa hivi.
M'bongo: malaika,mimi ni wa motoni ama mbinguni?
Malaika: kaka,wewe ni wa motoni.
M'bongo: ahsante malaika.haya nielekeze ni wapi..malaika anamuelekeza.na hata anapofika motoni na kupata kuna matatizo bado anakuwa mpole.kwa mfano;
M'bongo: Ibilisi,tafadhali njoo utusaidie.huku upande wetu moto umezimaaa.
Ha ha ha ha.