Je ni kweli Mnyika ameponzwa na akina Ndugulille, Zungu na Mntenvu?

wabunge wote wanafiki watupu. kama wanajali maslahi ya wananchi kwanini walijiongezea posho na kusahau kuibana nchi iongeze mishahara ya wananchi wake?

Unafiki mtupu.
 
Mnyika amejishushia hadhi, kuwa upande wa hao wabunge vilaza wa ccm akina utomvu na wenzake.
 
Huyo zungu si ndo alisema watu wasihame jangwani..sasa mbunge kama huyo ana ubongo au tikiti maji kichwani..
 
Back
Top Bottom