Je ni kwel kwamba meno ya bindadamu yana sumu?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Tafadhal naomba kuuliza wana jf.NIMENG'ATWA NA MENO YA BINADAMU MPAKA KIDONDA.JE NINI TIBA YAKE?PIA MENO YA BINADAMU YANA SUMU?
 
mi naona umeng'atwa na binadamu mkuu kama sijakosea na sio meno ya binadamu.
 
Hakuna sumu - lakini kuna uwezekano wa kupata infection kwenye hicho kidonda
 
yanasumu iwapo utamng'ata nyoka.lakini uking'atwa na mla ugoro unaweza pata matatizo kama hutamuona dr.mia.
 
Back
Top Bottom