Msaada: Ni kawaida mtoto kuota meno chonge kabla ya meno ya mbele?

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,363
5,110
Mwanagu wa miezi 7 nane kasoro kashaota meno mawili ya chini ila kinachonishangaza upande wa juu limejitokeza jino pembeni (meno chonge ) yameota kabla ya meno ya mbele .

Je hii ni hali ya kawaida? Sijawai ona popote
Screenshot_20231202-211116_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom