FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji?
Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa kilo?
Huu mzigo mzito hivi wa kulinda viwanda vya wahindi anaobeneshwa mTz ni kwa faida ya nani? Iweje mijitu inalindwa kila siku kw amaumivu na mateso makali, ila haiongezi uzalishaji, kwanini?
Hawa washenzi tumewahakikishia soko la ndani la uhakika, tumewahakikishia ardhickubwa ya uhakika ya kulima miwa, tunawalindia soko lao kisheria Kwa maumivu na mateso makali, kwanini hawaongezi uzalishaji tu, kwanini?
Dawa pekee ya kuzuia uhaba na hujuma ya wanaoficha sukari ili kupandisha bei ni kuzalisha nyingi kiasi kwamba waishie maghala ya kuficha sukari, yaani wakificha tani 100 wewe unazalisha tani 200, wakificha tena hizo 200 wewe unazalisha tani 400, dawa ni hiyo kote.
Leo jaribu kuficha chumvi ili upandishe bei, ndio utajua hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Ukifcha tani 100 za chumvi, Neel salt anachukua ile pesa uliyonunulia hizo tani 100 kisha anaenda kuzalisha tani 500.., tuone kama utaficha tena.
USHAURI: Kwakuwa wahindi wenye viwanda wameamua kushirikiana na walanguzi kwa kuzalisha sukari kidogo ili wapewe vibali (kumbuka wanaopewa vibali vya kuagiza sukari ni wamiliki wa viwanda vya sukari nchini tu) vya kuagiza sukari na kuja kuiuza kwa bei mara tatu hadi nne nankisha kugawana pesa hiyo na serikali kupitia watendaji na waziri mwenye dhamana kwa mfumo wa rushwa nzito za mabilioni kwa mabilioni;
SASA TUNAHITAJI SUKARI IAGIZWE KWA UHURU KAMA NGUO KARIAKOO,
Sababu sheria hii ya kulinda sukari inawafaidisha walanguzi na watendaji wa serikali wala rushwa, kama hivi viwanda vimeshindwa kuzalisha sukari ya kutosha pamoja na kupewa ulinzi mzito kiasi hiki, basi let nature take its course, kama kufa vife tu! Tumeumizwa vya kutosha.
==========================
UPDATE: 22/02/2024
“BASHE: WAFANYABIASHARA WA SUKARI WACHAGUE KUUZA AU KUACHA, TUMEWALINDA VYA KUTOSHA
Akifafanua kuhusu changamoto ya Sukari Nchini, Waziri wa Kilimo, Hussein Mohammed Bashe amegusia kuhusu Serikali kufanya mabadiliko ya biashara ya sukari na kuruhusu ushindani wa biashara hiyo kwa wawekezaji wa ndani na wa nje ya Nchi”

Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0 Endelea kufuatilia kitakachoendelea... Zuhura Yunus: Rais Samia...
www.jamiiforums.com