Je, ni Kupaza aliyemuua Mwivano? Upande wa pili wa Shilingi

Huyo mama wa kizungu (Shari) ndio aliyefanya mpango wote,hajahusika moja kwa moja kumuua mwivano lakini ndiye aliyeplani kila kitu na kuhakikisha huyo kupaza anakuwa hatiani,lengo ni kulipiza kisasi na kumkomoa kupaza na mwivano,kwanza kwa sababu gani ndoa yao ilivunjika,nahisi chanzo ni kupanza kuwa na uhusiana na huyo mdogo wake hadi kumpa mimba,Shari inaonekana hakupenda kabisa kwanza yeye ndio aliyewapeleka marekani, ndio mana akaamua kulipiza kwa kumuua mwivano na kuhakikisha kupaza anapewa hiyo kesi ya mauaji na kuishia jela,she played very smart.
 
Mkuu umesoma kisa tokea mwanzo hadi mwisho?

Mbona mazingira yanaonesha kabisa kuwa kaka mtu alihusika?

Kwanini adanganye kuwa dadake kaenda jimbo alilokuwa rafiki yake ili kuungana ki safari kurudi nchini Tz wakati si kweli?

Kwanini apige simu kwa yule mwanamke wa Tz aishiye Marekani jimbo jingine kwamba, dada yake karejea Tz na ameisha jiunga na chuo cha nersing, nk nk wakati si kweli?

Ukiunganisha dot, kioengele hadi kipengele, inaonesha kabisa kuwa kaka mtu alihusika moja kwa moja.
 
The Kupaza guy sounds a weird dude, so is the Justice system which led to his conviction. Dog-sniffing 'expert' was just too stupid and unscientific and the 'expert' was later proven to be pathological liar and a fraud, makes me wonder how was such a circus allowed into the so called American court of law..unbelievable. There is a small chance the guy is innocent, maana ni muhali kwa mbongo kufanya a perfect crime (don't ask me why)..sadly polisi huwa hawapendi kuumiza vichwa wao daima wanaangalia shortest distance to closing the case, esp. kama inahusu ngozi nyeusi.
Let's wait.... Don't be surprised ukisikia jamaa kashinda kesi
 
Mkuu umesoma kisa tokea mwanzo hadi mwisho?

Mbona mazingira yanaonesha kabisa kuwa kaka mtu alihusika?

Kwanini adanganye kuwa dadake kaenda jimbo alilokuwa rafiki yake ili kuungana ki safari kurudi nchini Tz wakati si kweli?

Kwanini apige simu kwa yule mwanamke wa Tz aishiye Marekani jimbo jingine kwamba, dada yake karejea Tz na ameisha jiunga na chuo cha nersing, nk nk wakati si kweli?

Ukiunganisha dot, kioengele hadi kipengele, inaonesha kabisa kuwa kaka mtu alihusika moja kwa moja.
Nimesoma vizuri mkuu,nimejaribu kifikilia kwa upande wa pili na naamini huyo Shari inawezekana amehusika kwenye mpango mzima na alipanga very smart, kama ni mpenzi wa movies hebu tafuta hii movie inaitwa Fugitive ya Harrison Ford,inavisa ambavyo vinaweza kukufanya ufikilie hii kesi kwa upande wa pili...rejea pia kwenye post ya mdau huyu.......
"Waswahili wanasema uwongo huwa unazaa uwongo mwingine..................
-Kupaza alilazimika kudanganya kuhusu alipo dada yake kwa sababu Viza ya dada yake ya kuishi nchini Marekani iliisha muda wake, kwa kuuliziwa na Polisi, kulikuwa na maana kwamba ameshachomewa na Shari Goss na sasa inabidi am-protect, na kosa hilo ndilo lililomgharimu ikabidi aendelee kudanganya kumbe ndio anajitia kitanzi........
-Shari Goss alikuwa anajua mchezo mzima, ile kuwahifadhi wazazi wa Mwivano kwa kipindi chote wakati kesi inaunguruma, ni katika ku-cover up alichokifanya, lakini wote wawili wanajua what happened.

Bado kuna maswali mengi yanahitaji majibu ili kuthibitisha kweli Kupaza alimuua dada yake................"
 
Dah hii story inanisikitisha saaana maana nawajua sana wahuska wengi ukianza na mwivano mwenyewe na hao mashahid faith mmanywa na shadrack msengi,all are my school mates at Lutheran Junior Seminary, RIP dada Mwivano!
Nan aliua?
 
Back
Top Bottom