Je, ni Kupaza aliyemuua Mwivano? Upande wa pili wa Shilingi

Kwa uzoefu wangu wa miaka zaidi ya sita ya kusihi Marekani. Ninaamini kwa asilimia kuwa huyu mama wa Kizungu amehusika na hichi kifo cha huyu Dada.
 
Nilifuatilia hii kesi enzi hizo na najikuta nashawishika kwamba Peter alihusika.

Hata hivyo ushiriki wa mtalaka wake kwenye kesi unaacha maswali mengine mengi.
 
Mimi sijaisoma kabisa hii thread yako sababu ndefu sana...ila nadhani nakubaliana na thread zako zote zina ukweli mtupu.

Hahaha,

Habari kama hizi ndizo zinatufanya tupigie kura kina Kikwete kwa minajili ya "Ndiyo Mzee" halafu baadaye tunakuta tulivyofikiri na habari ilivyo tofauti.
 
All the circumstantial, scientific, and physical evidence in this case pointed to Kupaza's guilt.

It's astounding how some people will always try to find an opening to inject race in issues like this when race doesn't have anything to do with it.
 
All the circumstantial, scientific, and physical evidence in this case pointed to Kupaza's guilt.

It's astounding how some people will always try to find an opening to inject race in issues like this when race doesn't have anything to do with it.


Kweli kaka.....

Nadhani katika maelezo yote ambayo nimewahi kusoma kuhusu hii kesi, MS Judith kajaribu kutoa sababu zenye mshiko ambazo walau inawezekana zilimfanya Peter amuue binamu yake. Hata hivyo, inabaki kufikirisha na kusumbua ubongo, kwani ni ngumu kupata maelezo ya kujitosheleza ya kuelezea sababu halisi za kifo cha Mwivano.

Hata hivyo,utetezi wa Peter unaonekana dhahiri kuwa wa kitoto sana na unaacha mashaka makubwa!

Ila kila ninapofuatilia, nashindwa kuelewa kwa nini mtalaka wa Peter aliingia mzima mzima kwenye hii kesi. Kwanza alitoa ushahidi ambao ulibeba sehemu muhimu katika kufikia hitimisho la kesi. Pia alitoa ufadhiri kwa wazazi wa Mwivano walipokuwa huko kwa ajili ya kesi....Kweli hapa panatia shaka kwani ana maslahi binafsi katika hii kesi na sijui kwa nini alifanya hivyo.
 
All the circumstantial, scientific, and (as well as) physical evidence in this case pointed to Kupaza's guilt (clearly point to Kupaza as being guilty).

It's astounding
how (as to how) some people will (would) always try to find an opening to inject (of injecting) race in issues like this (these) when (where) race doesn't have (anything to do with it) (any bearing).


Dear NN,
For good or better ENGLISH at least, ommit/replace the red colored text with the blue one!
 
No, I am not going to for there is nothing wrong with what I wrote. But feel free to rephrase it in whichever way you want.

And, the evidence "pointed". Get it?

Ok, angalau basi hapo kwenye "issues like this", badilisha hiyo!
 
Hii habari niliwahi kuisoma kwenye gazeti moja la bongo wakati huo tukio limetokea, kwa kweli ilinivutia kwa namna ilivyokuwa inasisimua kwa kusikitisha....ila haikuwa imekaa katika mtiririko mzuri namna hii....
Asante mkuu, naiprint....ili niiweke kwenye makabrasha yangu ya kujisomea.

Mie sina shaka Kupaza aliua..kwa namna ushahidi ulivyokaa....mbona wazi kabisa hiyo.....ila aagh, naona wangempiga no parole
 
Usikuwa wa leo mke wangu hakupata usingizi mzuri iliopofika saa 11 asubihi akawa anapitia JF akakutana na thead kama hii baada ya kuiona tu akaniambia kuwa JF leo wameweka tread ya Peter ana Mwivano kisa ambacho kilitokea miaka iliyopita ikawa guzo sana kwenye vyombo vya habari vya hapa nchini na marekani kulipotokea kisa hicho.
Nakumbuka awali 2009 mke wangu aliwahinionyesha picha ya Peter na Mwivano ( Kwani wanaundugu) kabla ya kwenda marekani pia alinionyesha picha za mazishi ya Mwaivano huko Marekani, pia alinisimulia kisa hicho kilivyokuwa lakini sikuwapata muda wa kulichukulia sana kwa uzito kwani pindi hiyo nilikuwa na mambo mengi sana ya kikazi hivyo sikupata muda sana wa kuhoji zaidi ya kumwambia kisa hiki nilikifuatilia kwenye magazeti muda sasa lakini sikuweza kuunganisha dots vizuri.

Cha kushangaza kabisa leo nikaamua kugoogle kikamilivu ndiyo nikakutana na hii story hapa JF kwa undani what exactly happened, Ni meazimia kukutana na familia za wahusika wa pande mbili kama itakuwa baraka upande wao huenda nikaweka hapa kujua updates zaidi.

Aksante sana wan JF kwani hapa ni zaidi ya mtandao wa kijamii.
 
shari alikuwa na shari lake!hebu ngoja nitembee kwenye mawazo yake ya kina!
-MWIVANO KAMPORA MUME!(npka wakatengana)
-SIONI MAHALI AMEZAA NA PETER,MWIVANO ALIKUWA NA MIMBA YA MUME WAKE,(nyingine na hakuwa tayari kuitoa)
-MWIVANO AKIFA NA PETER AKIWA FRAMED NA MAUAJI ,amewakomesha WOTE!KISASI!
shari alikuwa na motive nyingne nyuma zaidi ya peter!
-HIZO PICHA ZILIZOTOLEWA NA POLISI NI NGUMU SANA KUZIUNGANISHA USEME NI ZA MTU FULANI,unless uwe umejiandaa kuwa zitatoka tu siku si nyingi!
-kama lengo ni kuficha asiwe mhusika yeye petera singetumia mifuko ya duka alilozoea kununua vitu!
mwisho kabisa Mtambuzi ZIMWI LIKUJUALO ..................................shem STUKA!oh
 
shari alikuwa na shari lake!hebu ngoja nitembee kwenye mawazo yake ya kina!
-MWIVANO KAMPORA MUME!(npka wakatengana)
-SIONI MAHALI AMEZAA NA PETER,MWIVANO ALIKUWA NA MIMBA YA MUME WAKE,(nyingine na hakuwa tayari kuitoa)
-MWIVANO AKIFA NA PETER AKIWA FRAMED NA MAUAJI ,amewakomesha WOTE!KISASI!
shari alikuwa na motive nyingne nyuma zaidi ya peter!
-HIZO PICHA ZILIZOTOLEWA NA POLISI NI NGUMU SANA KUZIUNGANISHA USEME NI ZA MTU FULANI,unless uwe umejiandaa kuwa zitatoka tu siku si nyingi!
-kama lengo ni kuficha asiwe mhusika yeye petera singetumia mifuko ya duka alilozoea kununua vitu!
mwisho kabisa Mtambuzi ZIMWI LIKUJUALO ..................................shem STUKA!oh

Snowhite hapo umesema.
Unajua niilisoma hiyo habari kwenye magazeti, nikaiona kwenye discovery channel na nimesoma kwenye JF, lakini ambacho bado sijakipata nini ilikuwa MOTIVE ya Peter kumuua Binamu yake. Yaani kwa maneno mengine Peter alikuwa ananufaika na nini kwa kifo cha Mwivano. Ukiangalia maelezo ya hii kesi ni kama Shari alikuwa na MOTIVE kubwa kuliko Peter. Hayo ni mawazo yangu tu
 
Mkuu Mtambuzi gazeti la RAIA Mwema lime copy na kupaste habari hii. Ndio makala imeanza toleo la juzi
 
Last edited by a moderator:
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom