Je, ni jeuri ya pesa? Diamond atembeza R-R bila plate number kwenye usiku wa WASAFIBET

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,734
10,045
Usiku wa tarehe 10 December wadau mbalimbali wa burudani na michezo waliweza kushuhudia uzinduzi kabambe kwa WASAFIBET.

PicsArt_12-11-01.20.29.png

Katika uzinduzi huo C.E.O na boss wa wasafi media alionekana akiwasili ukumbini ndani ya gari yake ya kifahari kabisa RR ikiwa na bila namba ya utambulisho maalum.

Bado wadau wanajiuliza kwa nini hajaweka utambulisho plate number mpaka leo? Na kisheria inakaaje hii?
PicsArt_12-11-01.21.08.png
 
Huko duniani burnaboy aombwa kufanya show madison square garden 🙌🙌🙌
 

Attachments

  • burnaboygram_1639116078127905.mp4
    557.7 KB
Hakika nafurahia Huyu Dogo Nassib akifurahia Maisha enjoy sana dogo Mungu hapendelei ng'ara upate zaidi na zaidi. Umefungua njia kimataifa kwa wengine, we live once live your life enjoy your life celebrate na raha jipe mwenyewe. Bestwishes Mwamba endelea kupambana
 
Hii gari ina namba tayari, na alitaka alipe private number Platnumz 1 ila ameghairi. Hapo penyewe inavokuja imetolewa tunavoingia Mliman sio kwamba haikua nayo njia nzima. Na tuliomba escort ya polisi (trafiki). Samahan kwa usumbufu uliojitokeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom