Je ndege haziwezi kurudi nyuma( reverse)?

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Nikiwa uwanja wa ndege huwa naona ndege zikitaka kutoka kwenye terminal kwa kurudi nyumza zinasukumwa na vigari vidogo

  • Je ina maana ndege hazina mechanism ya reverse gear or reverse motion?
  • kama ndio ni kwa nini? na kama zinayo kwa nini zinasukuwa na vigari zikiwa terminal ?
 
Nikiwa uwanja wa ndege huwa naona ndege zikitaka kutoka kwenye terminal kwa kurudi nyumza zinasukumwa na vigari vidogo


  • Je ina maana ndege hazina mechanism ya reverse gear or reverse motion?
  • kama ndio ni kwa nini? na kama zinayo kwa nini zinasukuwa na vigari zikiwa terminal ?

Swali zuri sana!

1.Kuna ndege za aina mbili ambazo ni -Jet engine na Propeller engine.
2.Ndege za Je huwa hazina reverse gear.
NB:
Ieleweke kuwa tunaposema reverse gear kwenye ndege tunaongelea direction ya suction ya hewa.
Kawaida, ndege ya jet ili iende mbele inavuta upepo kwa mbele kuuingiza kwenye injini na kuu'pressurize,kisha kuutoa kwa nguvu kubwa, ambapo nguvu hiyo ya kuutoa ndiyo huisukuma ndege mbele...Umbo la injini ya Jet limetengenezwa kiasi kwamba ina eneo kubwa la kuvuta upepo kwa mbele, lakini ina eneo dogo lakuutolea upepo huo huo, ili kuzalisha force au kani kubwa ya kuipeleka mbele.
Kwa jinsi hiyo, umbo la ndege ya Jet haliruhusu eneo la kutolea upepo libadilishwe kuwa la kuvutia upepo, ili ndege iende kinyume.

Ndege ya Propeller inaweza kabisa kupiga reverse, na huwa zinafanya hivyo mara nyingi tu!
Kawaida ndege ya propeller huwa inavuta upepo kwa kutumia mapangaboi, na kuurudisha nyuma, na kitendo hicho kinapofanyika kwa mzunguko wa kasi husababisha ndege kusonga mbele.
Kitendo cha kuuvuta upepo mbele na kuurudisha nyuma kinakuwa achieved kwa kuyaweka mapangaboi katika engo' fulani, ambapo jambo hilo hufanywa na rubani.
Sasa, ukitaka upepo uvutwe kutoka nyuma kwenda mbele, ni kiasi cha kubadilisha engo au uelekeo wa mapangaboi yale tu,na unakuta ndege inarudi reverse kinyume na uelekeo wa upepo.
Kwa hiyo ndugu hii inawezekana kwa ndege za Propeller tu, japo umakini wa juu sana huhitajika wakati huo, maana kutokana na umbo la ndege, rubani haoni chochote nyuma yake, na ndege kawaida haina site mirror..
Nenda google kwa msaada zaidi, lakini kwa uzoefu wanguna kwa lugha ya kiswahili ni kama hivyo nilivyokusimulia.
 
ndio zinarudi nyuma niliona ya bush alipokuja hapa niliona ikirudi nyuma pale uwanja wa ndege
 
Ndege zinaweza kurudi nyuma ila ni hatari kwa kuwa inabidi engine ziwe zimewashwa.,

First, thrust reversers on jets. The same thrust reversers that are used in landing to slow a plane down can be used to back it up. However, at civilian airports it is safer and cheaper to use a vehicle to push the plane backwards from the gate.

Second, adjustable pitch propellers. Such as on the C130. They can reverse the pitch so instead of the normal backwards thrust, they get forward thrust, moving the plane backward.

Using reverse when stationary is very dangerous especially near a gate where the trust could cause injury to civilians or damage to objects near the aircraft. Even if the reverse was to be used Pilots won't have much control on what direction they are moving in as there view of what's behind them is restricted
 
hii inawezekana kwa ndege za Propeller tu,



Hata Jet engine inawezekana sio prop engine tu, jet engine ina kitu kinaitwa thrust reversers.


Wakuu, ni turbine engines tu ndio zinaweza kurudisha ndege nyuma.

Kuna aina mbili ya aircraft engines:
1. Piston Engines
2. Turbine Engines

Only turbine powered aircraft can reverse by using thrust reversers.

PS: Turbine Engines zimegawanyika kwenye makundi yafuatayo:
1. Turbo Jet - za kizamani sana, kama DC9.
2. Turbo Prop - Kama ATR za PW
3. Turbo Shaft - Helicopters with turbine engines kama Eurocopters na Bell Agustas.
4. Turbo Fan - this is the modern engine zina high bypass ratio, mfano kama B777.
 
Wakuu, ni turbine engines tu ndio zinaweza kurudisha ndege nyuma.

Kuna aina mbili ya aircraft engines:
1. Piston Engines
2. Turbine Engines

Only turbine powered aircraft can reverse by using thrust reversers.

PS: Turbine Engines zimegawanyika kwenye makundi yafuatayo:
1. Turbo Jet - za kizamani sana, kama DC9.
2. Turbo Prop - Kama ATR za PW
3. Turbo Shaft - Helicopters with turbine engines kama Eurocopters na Bell Agustas.
4. Turbo Fan - this is the modern engine zina high bypass ratio, mfano kama B777.

Mtaalam wa mechanics na Aerodynamics kwa nini hizo turbine engine tu ndo ziweze kurudi na sio hizo zenye piston.?

Na kwa sie tusijua sana haya mambo ya mehanics unaweza kumuelezeaje mtu akikuuliza nini hasa maana ya neno turbo. Ebu nifafanulie turbo ni nini au ni kifaa kikoje?
 
Back
Top Bottom