Je, mwanamke anapomaliza hedhi tu anafaa kuingiliwa?

Mkuu nakufahamu kupitia jukwaa la international, wewe ni muislamu wa itikadi kali za kipuuzi.

1. Kwako wewe mwanamke hana thamani, so sio ajabu kuandika maneno ya kipuuzi kama haya uloandika hapa.

2. Mama yako mzazi hajakutoa kukuleta hapa dunia bila kutoka damu ktk njia hiyo hiyo unaiona ina kinyaa hapa.

3. Kwa akili zako hizi chafu, ukija kuoa wewe lazima mkeo atakuwa anagongwa nje saana, unless asikutane na mafundi.

MWISHO: Kuna mambo huyaridhii kuhusu watu fulani au jamii ya watu fulani, its better kukaa kimya kuliko kuongea.

Ukishakuwa mwanaume sio kila kitu unaweza ukazungumza ktk maisha yako. Ukishindwa hili, uje tukufundishe namna ya kuwa mwanaume halisi.

Mwanaume ni baba, baba anapaswa kupenda himaya yake, kuithamini, kuiheshimu na kuilinda. Mpende mwanamke, mthamini, mmheshimu kwa namna zote kama ambavyo unapenda upewe heshima na mlinde pia wakati wote
Ulitaka kuongea point, ulivyoingiza imani kwa tafsiri zako na wewe ukaingia kundi hili. Yeye discrimination by gender wewe religion
 
Mtu anamaliza hedhi asubuhi, jioni mkirudi unakula apple kama kawaida. Hujaoa itakuwa, having kinyaa coz it's nature, tena genye za kusubiri 4days zinakuwa sio za dunia hii.
 
Binafsi nimekuwa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke ambaye muda mchache anatarajia kuanza hedhi au baada kumaliza hedhi. nahisi kinyaa sana hasa nikitafakari kua ni damu chafu imepita au inatarajia kupita hapo. Vile vile naweza ona mwanamke mzuri pisi kali katimia kila idara nikifikiria kua huenda kavaa pedi namshusha thamani kabisa.

Au huwa nawashangaa wanawake wanaoringa wakati utamu wao ni wa msimu tu...pia nawapa hongera wanaozama chumvini kwa ulimi kusafisha masalia ya damu mpaka baadhi ya mavuzi yananasa kwenye meno.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
dah we jamaaaa fala sana nimecheka kifala kama mazur hv hasa hapo mavuz kunasa kwenye meno hivi we bwana umewaza nini
 
Back
Top Bottom