Je, mwanamke anapomaliza hedhi tu anafaa kuingiliwa?

Halafu huu uzi watapita kama hawaioni au wanawake wa jamii forum leo watageuka na kuwa wanaume mpaka huu uzi utoweke

Wako wapi wakina Toyeye na wengine mahiri?
 
Katika sehemu chafu katika mwili wa binadamu ni mdomo na kikunyeo.

Papuchi ni kiungo kilichowekewa uwezo wa kujisafisha wenyewe. Asilimia kubwa ya wanawake wanaojutunza huwezi sikia hata harufu, mnapenda kununua malaya kisha mnajazia mstari kuwa ni wanawake wote.....

Anyway kinachopelekea damu ni yai likiwa linatoka mji wa kizazi unajijenga. Pale panapokosekana mbegu ule mji unavvunjika ndio maana unaona damu na vipande vya nyama....

Haya yote mwenyezi Mungu kayaumba, ila kuita uchafu, au kumwita mwanamke akiwa kwenye siku zake ni mchafu, INAFIKIRISHA SANA. Ina maana baada ya Mungu kumuumba mwanaume na mwanamke alifurahia uumbaji wake. Leo hii unatokea Leo kusema ni uchafu. .

Kama kweli recarnation is real, itapendeza urudi kama mwanamke. .

Screenshot_20231208_202959_Google.jpg
 
View attachment 2896494
Naona unauhakika na papa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Katika sehemu chafu katika mwili wa binadamu ni mdomo na kikunyeo.

Papuchi ni kiungo kilichowekewa uwezo wa kujisafisha wenyewe. Asilimia kubwa ya wanawake wanaojutunza huwezi sikia hata harufu, mnapenda kununua malaya kisha mnajazia mstari kuwa ni wanawake wote.....

Anyway kinachopelekea damu ni yai likiwa linatoka mji wa kizazi unajijenga. Pale panapokosekana mbegu ule mji unavvunjika ndio maana unaona damu na vipande vya nyama....

Haya yote mwenyezi Mungu kayaumba, ila kuita uchafu, au kumwita mwanamke akiwa kwenye siku zake ni mchafu, INAFIKIRISHA SANA. Ina maana baada ya Mungu kumuumba mwanaume na mwanamke alifurahia uumbaji wake. Leo hii unatokea Leo kusema ni uchafu. .

Kama kweli recarnation is real, itapendeza urudi kama mwanamke. .

View attachment 2896494
Haya nikuulize, hii ya kuitwa wanaume kibamia kina ukweli? Hivi vipi mpini mahala peke ni kwenye kinu, ss inaingizwa kwenye ziwe Tanganyika?

Na maanisha sisi
Sio kibamia ila wao ni ziwa
 
Nina wasiwasi wewe ni mada katika I'd nyingine

Hata nguo zina size tofauti, kwa nini uvae nguo ambazo sio size yako
 
Mwanetu huyu atakua ana Nyota ya kuwa Padri, mambo ya mapenzi hawez huyu.

Akija kusikia kuna watu wanapiga deki iyo kitu siku ilyotoka kufunga period jamaa atatapika siku nzima, kuna njemba humu zinaipiga hata iwe hedhi, sema tu hawasemi
Duh aise hatari sana unatafuta nini au unataka umteke akulee au awe wako mazima
 
Back
Top Bottom