Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
In all seriousness....sidhani kama mgombea mwanamke atafika mbali. Kikwazo kitakuwa wanawake wenzake! Atatokea mgombea mwanamme ambaye wanawake watadhani ni 'handsome' na watapagawa.
Angalia Hillary....wanawake wenzake ndio walikuwa kikwazo. Badala ya kuangalia hoja alizokuwa akitema Mama wa watu wakabaki kukosoa pant suits zake...mara ooh mumewe hivi....mara ooh...I can't stand that what rhymes with witch....mara ooh I just can't stand her coz she's mean looking...mara wakawa wana criticize make up zake...n.k.
Kuja Obama...aaah...we acha tu. Mademu walikuwa wanazimia literally...wengine hadi wana-fantasize kufanyana naye. Hehehehe...vichekesho mtupu.
Objectively speaking...Mama won nearly every debate they had.
Oh....well...we shall see. But adui wa mwanamke ni mwanamke.
That is very true wala sikukatalii kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke...but lets try and see...Mbona yule Ellen Johnson ameweza kuwa raisi..i think inabidi huyo mwanamke awe ngangari na siyo slaki ...all in all lakini baadaye si hao hao wanawake wakawa on Hilary side?....
Tukisema tuangalie uzuri matokeo yake hatutafika mbali si huyo raisi wetu walisem ahandsome i guess na yeye alichaguliwa kwa vigeo hivyo matokeo yake tumechagua nazi koroma.